Bunge la Uingereza lakataa kwa mara ya 3 deal la Theresa May la Kujitoa Ulaya

Observer

Senior Member
Oct 18, 2006
188
290
Wabunge wa Uingereza leo tena wamekataa deal la Waziri Mkuu Theresa May la kujitoa kwenye umoja wa Ulaya , kwa kura 344 kwa 286

Theresa May alifikia makubaliano na Umoja wa Ulaya juu ya namna ya Uingereza itajitoa kwenye umoja huo, ila makubaliano hayo inabidi yapitie bungeni ili kupitishwa

Ikumbukwe hii ni mara ya 3 sasa kwa deal la Theresa May kukataliwa na bunge la Uingereza

Nini hatima ya Theresa May na uwepo wa Uingereza kwenye Umoja huo wa Ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kura ya wananchi ya kutaka kutoka ilikuwa ni bure!
 
Back
Top Bottom