Bunge la Uingereza laamuru BAE kuilipa serikali ya Tanzania

Wametakiwa wailipe serikali ya Tanzania bila masharti yoyote, Hongera Mh Membe.

"Mr Bruce advised BAE to hand the money over to this project "as soon as possible"."


Hapo ndio Bunge la Uingereza kuamuru? Kwani Bunge la Uingereza ndilo lililokuwa linajadili hili suala? Acheni kupotosha taarifa. Kama hujui Kingereza ni bora uweke hiyo taarifa kama ulivyoikuta. Ita make more sense.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Jenifa na mwenzio ni wapotoshaji wakubwa, huwenda hamjui kiingereza sawasawa au mmetumwa na magambaz.
 
Back
Top Bottom