Bunge la Uingereza kupiga kura ya kutokuwa na imani na Cameron

  • Thread starter Yericko Nyerere
  • Start date

Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,628
Likes
5,572
Points
280
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,628 5,572 280
Mbunge Nadine Dorries wa chama cha wahafidhina nchini Uingereza amesema kuwa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu David Cameron pamoja na serikali yake ya muungano iko jikoni na huenda ikawasilishwa bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura wakati wowote kutoka sasa.

Mbunge huyo amesema kuwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya Cameron kukosa kutekeleza ahadi aliyotoa kwamba angeandaa kura ya maoni ili Waingereza waamue iwapo wanataka kubakia au kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya.

Nadine Dorries amesema kuwa jambo lingine lililopelekea wahafidhina kuanda muswada huo ni hatua ya Cameron ya kubadilisha sheria za haki za binadamu na hivyo kutoa nafasi kwa polisi kuwahangaisha wananchi kwa kisingizio cha kulinda usalama wa taifa.

Uchunguzi wa maoni uliofanywa na gazeti la Daily Mail umeonyesha kuwa Cameron amepoteza umashuhuri kwa kiwango kikubwa nchini Uingereza na kwamba kwa sasa ni asilimia 33 tu ya Waingereza ndio wanaomuunga mkono.
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Haitapita hiyo hoja!
 
mtotowamjini

mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
4,538
Likes
33
Points
0
mtotowamjini

mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2012
4,538 33 0
hiyo habari haina ukweli wowote...nimeangalia magazeti yote ya uk hakuna such news...yes cameron chama chake kimeshindwa vibaya kwenye chaguzi za juzi but kule watu hawapigii ovyo kura za kutokua na imani na pm ovyo ovyo... cameron yeye ni one term PM...hawezi shinda chaguzi zijazo...sio mtu anayekubalika na watu wa chini..anatetea sana wenye hela na kuwaacha walala hoi njia panda but kura ya maoni....HAMNA such thing
 
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
6,796
Likes
89
Points
145
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
6,796 89 145
J.k atakua kwenye wakati mgumu sana.
 
Mwanajamii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Messages
7,080
Likes
24
Points
0
Mwanajamii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2008
7,080 24 0
Ni laana ya kubariki ushoga
 
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Messages
1,919
Likes
944
Points
280
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2011
1,919 944 280
Gadafi ataenda na wengi sana...yani wote viongozi waliofanya njama mpaka mauti yakamfika vile itakula kwao..alianza Belusconi wa ITALY he was friend of Gadafi,kafatia Nicolazi Sarkozy wa FRANCE nae imekula kwake OBAMA kwa hali inavyoenda sasa US pona yake ni ndogo sana kwani kashindwa kabisa kufufua uchumi wa US, unemployment rate ndo usiseme na umaarufu wake umepungua sana kwa UK the same story hii habari nimeiona ktk kituo kimoja cha kimataifa kua vote of no confidence inaweza kumkumba SHOGA camerun na ulaya na NATO yao umoja wao upo hoi anytime unaweza kuvunjika.....
 
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
6,818
Likes
1,680
Points
280
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
6,818 1,680 280
yes cameron chama chake kimeshindwa vibaya kwenye chaguzi za juzi but kule watu hawapigii ovyo kura za kutokua na imani na pm ovyo ovyo... cameron yeye ni one term PM...hawezi shinda chaguzi zijazo...sio mtu anayekubalika na watu wa chini..anatetea sana wenye hela na kuwaacha walala hoi njia panda but kura ya maoni....HAMNA such thing
Kweli wazungu ni nuksi nakumbuka mara baada ya ushindi wake baadhi ya viongozi wakongwe especially wa upinzani na hata baadhi ya viongozi wa America walishasema hawa jamaa wawili ni amateurs kwenye ulingo wa siasa zao tu, iweje wataweza siasa za kimataifa.

Leo nakubaliana na maneno yao kabisa, kwanza walisema 'Osbourne' hana experience ya kufanya kazi kwenye sector za uchumi hivyo hatoweza kuja na sera mbadala za kukuza uchumi leo its in the open jamaa kila kitu anachojaribu akizai matunda. Boss wake alikazalika sera zake ni za kimabavu tu kupitia party discipline ndio ameweza zipitisha bungeni na huyu 'Abu Hamza' kum-deport tu imekuwa kasheshe, something the 'Blair' administration ingekifanya with ease bila ya hizi hadithi za EU court of HR.

Hila watashinda tu uchaguzi ujao, kwa sababu ma-expert wale wale wanasema 'Ed Milliband' is a bit lefty for his socialist party liking and the current political ideologies. Kwa maana hiyo unajua tu, come next general election, Labour under the current leadership will struggle. Unless the other 'Ed' is given the chance.
 
Pinokyo Jujuman

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
553
Likes
2
Points
0
Pinokyo Jujuman

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
553 2 0
Ni Upepo tu huo utapita....
 
mtotowamjini

mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
4,538
Likes
33
Points
0
mtotowamjini

mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2012
4,538 33 0
Kweli wazungu ni nuksi nakumbuka mara baada ya ushindi wake baadhi ya viongozi wakongwe especially wa upinzani na hata baadhi ya viongozi wa America walishasema hawa jamaa wawili ni amateurs kwenye ulingo wa siasa zao tu, iweje wataweza siasa za kimataifa.

Leo nakubaliana na maneno yao kabisa, kwanza walisema 'Osbourne' hana experience ya kufanya kazi kwenye sector za uchumi hivyo hatoweza kuja na sera mbadala za kukuza uchumi leo its in the open jamaa kila kitu anachojaribu akizai matunda. Boss wake alikazalika sera zake ni za kimabavu tu kupitia party discipline ndio ameweza zipitisha bungeni na huyu 'Abu Hamza' kum-deport tu imekuwa kasheshe, something the 'Blair' administration ingekifanya with ease bila ya hizi hadithi za EU court of HR.

Hila watashinda tu uchaguzi ujao, kwa sababu ma-expert wale wale wanasema 'Ed Milliband' is a bit lefty for his socialist party liking and the current political ideologies. Kwa maana hiyo unajua tu, come next general election, Labour under the current leadership will struggle. Unless the other 'Ed' is given the chance.

unavosema the other Ed you mean Ed balls the shadow chancellor huyo ndio kabisa hamna kitu alikua ndio number two wa Gordon brown...haya brown yuko wapi leo hii..ni kweli ed milliband hayuko fresh kazubaa zubaa mi nilitaka sana kaka yake David Miliband achukue yule ndio angemuangusha cameron bt mbona hizi local elections za juzi labour imeshinda viti vingi sana...sikia waingereza sio wajinga hata kama ed miliband hawampendi as a leader bt wanapenda sera za labour...labour sio wabahili...policy zao ni spend spend and spend..they spend their way out of recession...so government borrowing ikiongezeka kunakua kuna hela zaidi kwenye mzunguko so watu wanaweza hata kupata ajira or biashara ndogo ndogo zikatajirika kwa mikopo na vitu kama hivyo.hiyo ni labour...Conservatives ya kina cameron wao ni spending cuts..ni kubana matumizi mpaka hela ya mwisho coz wao wanataka deficit ipungue serikali yao ipunguze madeni wanayodaiwa...hiyo policy ni nzuri kwa serikali na wenye hela but sio nzuri kwa low income ppo or to an extent middle income...Muanglie sarkozy kapigwa chini juzi na mtu ambae hana experience kabisa ya kutawala nchi kwanini? kwa sababu sarkozy alikua na policy kama ya cameron ya kubania hela wakati mwenzake katangaza kua akichaguliwa yeye ana spend spend and spend... So nakuhakikishia unless cameron abadilishe policies zake next election anaondoka...alafu pia waingereza hawapendi hii kitu ya wao kuungana na liberal democracts(coalition government)...coz kuna wakati wanashindwa hata kufanya kazi maana kuna wakati unakuta wanabishana policies zao zina clash... Alafu Ed anaonekana ni mtu wa watu sio kama cameron wanamuita 'posh' maana yeye na osbourne wametokea kwenye familia tajiri..
 
M

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
626
Likes
4
Points
33
M

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
626 4 33
Cameroon ana laana ya kubariki mashoga kwahiyo kama asipotubu na kujutia kuhalalisha jambo ambalo mungu hakulibariki lazima atapata kasheshe tu katika jina la yesu david cameroon tubu,....
 
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
6,818
Likes
1,680
Points
280
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
6,818 1,680 280
unavosema the other Ed you mean Ed balls the shadow chancellor huyo ndio kabisa hamna kitu alikua ndio number two wa Gordon brown...
He is the remaining superstar in the current front bench of the Labour party that makes him the most likely candidate. Plus he is good with his economic arguments and always his criticism appear to foresee the poor results of the current government policies.

haya brown yuko wapi leo hii..ni kweli ed milliband hayuko fresh kazubaa zubaa mi nilitaka sana kaka yake David Miliband achukue yule ndio angemuangusha cameron bt mbona hizi local elections za juzi labour imeshinda viti vingi sana...
Gordon Brown, had two problems first he wasn't English (usizani haya matatizo ya muungano yapo Tanzania tu) and second his party had been in power for too long, a balance was needed to amend some of the labor policy. Therefore anybody at that time would have difficulties winning the election.

Ed Milliband was not the choice of the higher echelon of the party for what he stood for, his brother was and if you followed the nomination campaigns his brother was almost there until the union vote. Remember the unions are the core base of the party and the founders of the party. Since his brother was a close ally of Blair, the union decided to punish him for sidelining their issues in politics and their demands during the Blair era. It is the union card which Ed played in the end to outwit his brother to secure his nomination.

And now you see all these protests back again after a long time (since thatcher) backed by the labour leader, most political experts do not like them as they have a wider impact on the economy. The demands of the unions risks companies moving abroad to better their profits. Now that is not good politics even if your a left supporter, they like responsible leadership and leave the political fights in the whitehall.

Point yangu hapo juu ni kwamba even people in the same party do not share the views entirely kwa hiyo huwezi kusema fulani ana faa bila ya kujua kwa kina anasimamia nini kisiasa zake na mwelekeo wa chama ukoje kiujumla maana hata wanachama kwa wanachama wanaweza pishana njia zao za kisiasa. Kwa maana hiyo kwa upepo uliopo kisiasa kwa sasa Ed Balls ndio the most feared opponent.

sikia waingereza sio wajinga hata kama ed miliband hawampendi as a leader bt wanapenda sera za labour...labour sio wabahili...policy zao ni spend spend and spend..
It is not just labour policies but also a combination of other factors such as the unpopular government policies not only conservatives that lost badly in the local elections but also the liberal to the point their leader had to apologise to the party. This shows some of the voters aimed to punish the government that the popular policies of the labour.

Labour hawawezi kupenda spend spend has you put it wao sio waafrika. If you like to spend you got to show where you're going to make the money. Dont assume the government are allowed to come up with Quantitive easing policies every time they need to boost the economy. The wider economy do not like those kind of monetary policies and also consumers do not like those of policies in the long run. Hapa tena inataka background information or else itakuwa nakala kuelezea. Kwa maana hiyo huwezi kusema spend spend spend tu bila ya kujua hela utatoa wapi wakati wewe tayari una deni kubwa.


Conservatives ya kina cameron wao ni spending cuts..ni kubana matumizi mpaka hela ya mwisho coz wao wanataka deficit ipungue serikali yao ipunguze madeni wanayodaiwa...hiyo policy ni nzuri kwa serikali na wenye hela but sio nzuri kwa low income ppo or to an extent middle income...
Kwanza ungejua deni la taifa ni kiasi gani na so far budget deficit ipoje ndio ungejua chanzo cha mikato yao. Suala sio kukata bali kukata responsibly na lazima uelewe kwamba hawa jamaa wao ni wapiga mbiu za siasa zakujisaidia usaidiwe kwa hiyo government spending cuts is the core of their philosophy.
 

Forum statistics

Threads 1,273,258
Members 490,344
Posts 30,475,511