Bunge la ubelgiji lapiga marufuku matumizi ya hijab | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la ubelgiji lapiga marufuku matumizi ya hijab

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,433
  Likes Received: 5,688
  Trophy Points: 280
  Bunge la ubelgiji limepiga marufuku hijab maofisini mashulen na sehemu za starehe
  ilichhukua kama liss limoja kuamua kuafikiana hili pale baadhi ya wabunge kugoma kukualiana
  na hili ndpo wakatumia kukubaliana kutokubaliana na hapo ndipo ikatangwaza kura za walioafiki na waliokataa nakuhitimishwa zoezi zima la malalamiko ya baadhi ya watu kutaka kuvaa hijab sehemu za kazi na mashulen..sheria hiyo inaanza kutumika june 1

  duh si mchezo hlo bunge ingekuwa bongo wangepigana kama UKRAINE
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  vizuri sana. wanaotaka kuvaa hijabu waende kwaoooooo uarabuni, africa etc. wanachofanya hapa ubelgiji nini? kuficha nyuso zao hata tusiwajue kama ni watu wema au wabaya? kama wameficha visu kwenye hijabu tutajuaje, na hawa ndo wale watu wa kujilipua. wamejaa ulaya hapa, leo hii yenyewe amekuja black mmoja, nikafikiri anataka kunisalimia black mwenzie, si akaanza kuniomba hela bwana, ati nimpe euro kadhaa kwasababu hana pa kulala, hana chakula anahangaika tu. wengi wanafikiri wakija huku ulaya wanakuja kula ma euro na madola....subutu. bakini tu hukohuko bongo kwetu wajameni.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,433
  Likes Received: 5,688
  Trophy Points: 280
  ufaransa wametangaza mwanaume atakaemlazimisha mkewe hawara yake kuvaa hijabu faini million 26
  hii ni sherua inaingia bungen july..si mchezo hijab kunani??
   
Loading...