Bunge la tumiwa bila kujua kufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la tumiwa bila kujua kufisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by morenja, Feb 8, 2012.

 1. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,517
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  bunge la tumiwa bila kujua .kupitisha sheria dhaifu ya fedha haramu .iliyo kusudiwa kumuokoa kada na mwanachama wa chama .aliyoko kanda ya kasikazini .subirini muone atakae hukumiwa wa kwanza na sheria hiyo .analipa faini ana sepa .,subiri uone .ujue kwa hakika sasa inchi imetawaliwa na mafisadi ,
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Embu funguka zaidi maana naona kama habari yako umeiachilia hewani hewani vile
   
Loading...