YEHODAYA JF-Expert Member Aug 9, 2015 36,902 51,992 Mar 28, 2017 #1 Bunge la Tanzania lina nidhamu sana linapofanya vikao.Nchi nyingi zinatakiwa kuja kujifunza hapa.Kama unabisha angalia hao
Bunge la Tanzania lina nidhamu sana linapofanya vikao.Nchi nyingi zinatakiwa kuja kujifunza hapa.Kama unabisha angalia hao
O Ongata JF-Expert Member Sep 3, 2016 525 1,192 Mar 28, 2017 #2 Hakuna kujifunza ni uwoga wa wabunge na vitisho vya Magufuli na kuogopa kulala selo
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,632 61,165 Mar 28, 2017 #3 Wabunge wetu ni Ndugu! Usiku wana share Vitanda, wengine wana share Mitungi ya bia baar, Wengine mpaka wamezalishana Wengine wapo kwny Madili ya Mabaraza ya Makanisa na Misikiti kuuza Mali za Wakfu Wengine wana share Madili kwny Kamati za Bunge Lissu na Mwanasheria Mkuu kuna Siku walipambana sana Bungeni lakin baada ya kutoka Lissu aka panda na kuondoka kwny Gari ya AG
Wabunge wetu ni Ndugu! Usiku wana share Vitanda, wengine wana share Mitungi ya bia baar, Wengine mpaka wamezalishana Wengine wapo kwny Madili ya Mabaraza ya Makanisa na Misikiti kuuza Mali za Wakfu Wengine wana share Madili kwny Kamati za Bunge Lissu na Mwanasheria Mkuu kuna Siku walipambana sana Bungeni lakin baada ya kutoka Lissu aka panda na kuondoka kwny Gari ya AG