Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,704
- 9,060
Kama kuna nchi duniani yenye Bunge lilojaa Wabunge wanafiki toka chama Tawala ni Tanzania.
Kwa mtu yeyeote mwenye akili timamu akikaa na kusikiliza vioja na vihoja vya Wabunge kutoka Chama cha CCM atagundua mara moja kuwa Bunge hili haliko SERIOUS!!!
Bunge la JMT ni Bunge lililojaa mizaha, kejeli, vijembe, matusi na kila aina ya upuuzi unaoweza kuufahamu. Haiwezekani Mbunge wa CCM anasimama kuchangia hoja ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara fulani, anaanza kuiponda, kuikosoa na kuikandia lakini anamalizia kwa kuunga mkono kwa asilimia 100(100%).
Kwa sasa kuna hoja kutoka kwa Watanzania kushu Watu kutekwa,kuteswa na kuuawa kunakofanywa na aidha Usalama wa Taifa(TISS), Polisi na Wakuu wa Wilaya/Mikoa. Lakini Waziri wa Serikali ya CCM anasimama na kukanusha kwa nguvu zote kwamba ni uongo na anayedai hivo alete ushahidi. Bado atasimama Mbunge wa CCM aliyekamatwa na kuteswa kwasababu tu anakosoa Serikali yake ya CCM, bado Spika(Supukali) atajaribu kupindisha na kukwepesha hoja hiyo.
Lakini jana ilikuwa ni kihoja kingine. Wakti kwa mara kadhaa Wabunge wa Upinzani kwa maana ya UKAWA(CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo) wamehoji sana kuhusu KUPOTEA KWA BEN SAANANE( Aliyekuwa msaidizi wa Mwenyekiti CHADEMA(T) lakini Bunge na Serikali yake wameendelea kukanusha pamoja na maelezo ya ushahidi toka mitandao ya Simu ambayo aghalabu huonyesha muda, eneo na simu zilizopigwa kwa muda husika.
Baada ya Askari 8 kuuawa huko Kibiti-Pwani inaonekana kana kwamba Serikali ya CCM na Wabubge wake wamezinduka toka usingizini kuwa kuna hatari inayo linyemelea Taifa!!! Mbona kwa swala la kupotea BEN SAANANE mmepuuza? Je, ni kwa vile Ben ni MPINZANI toka CHADEMA, siyo Mana- CCM, si Mtanzania na wala uhai wake hauna thamani??
Vitabu vitakatifu vinasema, AUAYE KWA UPANGA NAYE ATAKUFA KWA UPANGA!!! Hivi Watu wakisema kuwa vifo vya askari hawa 8 ni KISASI CHA MUNGU kutokana na kupotea kwa Ben Saanane atakuwa anakosea??Naomba Wabunge wote mtafakari hili!!!
Naomba kutoa hoja.