Bunge la sasa limekuwa ni Bunge Uchwara limepoteza mwelekeo

Mkuu BAK, asante kwa hii, kiukweli huyu bidada na mwenzake Halima Mdee, mimi nawazimia sana na kiukweli kila nikikutana nao kwenye social nimeisha jaribu kuwatokea kwa kuwapiga offer ili nijisogeze karibu, lakini wapi!. Kuoa mapema nako shida, mtu unakosa kabisa gia za kuingilia mabinti single, ukiachia yale magume gume ya Bungeni Dodoma ambayo yako kwa kazi moja tuu, kutoa zile huduma za kibinaadamu, hawa wako kwa maslahi ya taifa zaidi.
Mbunge wa CCM, Mhe. Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Paskali
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shukrani sana Mkuu.

Mkuu BAK hawa wadada wawili ni AKILI KUBWA ndio maana yule jamaa ameshindwa kwenda nao sambamba!kutumia manguvu ndo kwanza anazidi kuwaimarisha.
 
Bunge ambalo limeshindwa hata kutetea rasilimali za taifa-mfano mikataba ya gesi na madini, Bunge linaloendeshwa na serikali badala ya kuisimamia na/kuiwajibisha serikali, ni bora Iisiwepo, LINATIA TU HASARA HILI TAIFA
 
bunge limeshindwa hata kuisimamia serikali limebaki kupitisha bajeti hewa tu. kwa bunge hili watanzania tumekula hasara.
 
Bunge liko kwa sababu katiba anahitaji kuwepo.Lakini sioni umuhimu wa Bunge.

Wabunge wanafanya maamuzi kama Majuha.Hawana tofauti na walevi Bar
 
Kamanda Lema katika ubora wake.
 
Malaika katumia zaidi ya trilioni moja kule chato na $485 million kununua ndege bila idhini ya Bunge. Na bunge kimyaaaa hakuna hata kuhoji kuhusu kudharauliwa kwa mhimili huu wa kutunga sheria za nchi.

rubber stamp
 
Back
Top Bottom