Bunge la Miongozo ya Spika, Jee Mhe, Spika ni Dhaifu, Dikteta au?

There's nothing for junior MPs to learn from Makinda.......... whoever does that in this Bongo Fleva era will be grounding him/herself.
 
Kawekwa pale kuua upinzani..

Na kusimamia maslahi ya mafisadi

atakufa yeye na upinzani utabaki daima.

watanzania tunasonga mbele. kama kuna mtu anadhani tunarudi nyuma, au anajua tunasonga mbele lakini anataka kuturudisha nyuma, huyo ni mtu masikini wa fikra, na kimsingi amefulia.
 
Kweli nimeamini kwamba hakuna swali la kipumbavu/kijinga bali kuna jibu la kipumbavu/kijinga
 
Mambo yanayoendelea hapo Dodoma yanasikitisha sana, spika sasa anaendesha bunge kwa namna ambayo anafahamu mwenyewe, jana spika alikuwa ameombwa mwongozo kuwa mtu mwenye nafasi kubwa bungeni kama ataongea uongo, mbunge anatakiwa achukue hatua gani? Kama spika angetumia busara na kama angekuwa sio spika mwenye upande angemweleza hizo hatua ambazo zinatakiwa kuchukuliwa kama zipo, maana kilichotakiwa pale ni mwongo wa hatua zipi za kufanya kama kuna ukweli haukusemwa. Inavyoelekea spika haamini kuwa mtu mwenye hadhi ya kuwa waziri mkuu hawezi kuongea uongo anaaamini kuwa waziri mkuu si mwanadamu wa kawaida, amesahau kuwa kunauwezekano mkubwa huenda waziri mkuu alipewa taarfa ambayo kuna maeneo siyo ya kweli, waziri mkuu amesema isingekuwa rahisi kwa CHADEMA kushinda hali wako 14 wakati CCM ni 16, sidhani kama huo ni utetezi maana kuna maeneo ambayo katika uchaguzi uliopita kuna wanachama wengi wa ccm lakini hawakupigia kura chama hicho, si hivyo tu kama ccm wangekuwa kitu kimoja naibu meya (Arusha) angepata kura zote mbona kati ya wajumbe 17 waliokuwepo wengine walimkataa? Je huu ndio utaratibu wa demokrasia ya kweli? mama makinda lazima aelewe kuwa ule ni mgogoro kusikiliza maelezo ya upande mmoja tu ukweli unaweza usifahamike vizuri aidha lazima aelewe wazi kuwa bunge la vyama vingi linachangamoto nyingi ambazo pamoja na sheria za kibunge kufuatwa inabidi pia busara na uvumilivu viwepo, kinachoendelea sasa hivi ni ubabe usio wa lazima kwa mtaji huu na kwa jazba hizi bunge la awamu hii huenda likawa eneo la malumbano na kuadhibiana. Hoja sasa sio kujadili mambo ya msingi bali ni kuangalia nani amesema nini ili kumwadhibu na kupunguza nguvu ya hao wanaojiita wapinzani bungeni. Utaratibu huu hauwezi kutufikisha mbali.
 
Si kila mbunge mkongwe anaweza kuwa spika, mpaka hapa tulipo fikia makinda amedhihirisha kushindwa na hapo ndipo napata picha kuwa makinda amewekwa kwa sababu ya ccm sio kwa maslahi ya taifa, kwanza hataki mawaziri wake waulizwe maswali magumu, je tutafika na makinda wetu,
 
Nje ya Bunge Lema akihojiwa na ITV Lema amekiri kwamba Waziri Mkuu alisema uongo na ataonyesha uongo huo tarehe 14 Feb. Wala hatuna sababu ya kupindishan maneno. Hapa Spika kama alifikiri anamsaidia PM kamkaanga mno kwa sababu sasa dunia nzima itajua jinsi ambavyo serikali imechakachua swala la Arusha. Ni nafasi nzuri mno ya CDM kuanika ukweli kuhusu kilichotokea Arusha na hapa ndipo Makinda atakapojuta. Ni rahisi kutabiri kitakachotokea: Spika atakaata ushahidi wa Lema usiwasilishwe Bungeni, lakini Lema atapata nafasi ya kumwaga ukweli wote kwa waandishi wa habari na umma. It's the first terrible mistake that this lady has done to CCM, but a great service to the country. Mimi nampongeza sana Mhe Anne Makinda, mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge letu tukufu pamoja na kwamba hakujua alichokuwa anakifanya katika sakata hili la Lema!

nami nasubiri kwa hamu hiyo tarehe 14.kama alivyosema Mdee,mziki wa CDM hautapungua.ninahamu sana ya siku hiyo
 
Hivi mkuu wa serekali kama pinda anatofauti gani na mavi yangu ya asubui anapo potosha uma na bunge kwamba maneno ya viongozi wa chadema ya twendeni tukawakomboe viongozi wetu polisi kwanini hakuelezea ilikuwa je mpaka viongozi wa chadema wakasema hivyo?ile enzi ya mtu mzima akijamba huwezi kumwambi umejamba siyo hii siku hizi baba akijamba unamwambia kabisa baba umejamba tena ushuzi wako unanuka ile mbaya.
 
Nje ya Bunge Lema akihojiwa na ITV Lema amekiri kwamba Waziri Mkuu alisema uongo na ataonyesha uongo huo tarehe 14 Feb. Wala hatuna sababu ya kupindishan maneno. Hapa Spika kama alifikiri anamsaidia PM kamkaanga mno kwa sababu sasa dunia nzima itajua jinsi ambavyo serikali imechakachua swala la Arusha. Ni nafasi nzuri mno ya CDM kuanika ukweli kuhusu kilichotokea Arusha na hapa ndipo Makinda atakapojuta. Ni rahisi kutabiri kitakachotokea: Spika atakaata ushahidi wa Lema usiwasilishwe Bungeni, lakini Lema atapata nafasi ya kumwaga ukweli wote kwa waandishi wa habari na umma. It's the first terrible mistake that this lady has done to CCM, but a great service to the country. Mimi nampongeza sana Mhe Anne Makinda, mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge letu tukufu pamoja na kwamba hakujua alichokuwa anakifanya katika sakata hili la Lema!

This is it!
It appears that Pinda doesn't realise (or just maybe is insensitive to) the underlying implications.
 
Waziri Mkuu au msemaji yeyote wa nchi hawezi kusema "taarifa hii nimepewa," unapoongea unaiongelea Serikali, na kama taarifa ni za uongo, ni wewe ndio domo lako limetumika, wewe ndio mwongo, k

The Following User Says Thank You to Ng'wanangwa For This Useful Post:

Muadilifu (Today)​
 
Nje ya Bunge Lema akihojiwa na ITV Lema amekiri kwamba Waziri Mkuu alisema uongo na ataonyesha uongo huo tarehe 14 Feb. Wala hatuna sababu ya kupindishan maneno. Hapa Spika kama alifikiri anamsaidia PM kamkaanga mno kwa sababu sasa dunia nzima itajua jinsi ambavyo serikali imechakachua swala la Arusha. Ni nafasi nzuri mno ya CDM kuanika ukweli kuhusu kilichotokea Arusha na hapa ndipo Makinda atakapojuta. Ni rahisi kutabiri kitakachotokea: Spika atakaata ushahidi wa Lema usiwasilishwe Bungeni, lakini Lema atapata nafasi ya kumwaga ukweli wote kwa waandishi wa habari na umma. It's the first terrible mistake that this lady has done to CCM, but a great service to the country. Mimi nampongeza sana Mhe Anne Makinda, mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge letu tukufu pamoja na kwamba hakujua alichokuwa anakifanya katika sakata hili la Lema!
Kitila, kwa wapenda haki wote hata walioko CCM, wameumizwa na kilichotokea Arusha na mimi ni miongoni mwa walioumia zaidi baada ya kuuona ule uchakachuaji wa polisi, hivyo jana nili comment mahali, THIS IS THE GOLDEN OPPORTUNITY FOR CHADEMA TO TELL THE WORLD!.

Mimi binafsi roho yangu itatulia nitakapo waona wale polisi on the dock!. Mbona kwenye Kesi ya Mauaji Mwanza, Waziri wa Mambo ya ndani wakati huo, Mwinyi aliachia ngazi na IGP wake Pundugu pamoja na boss wa TISS ya enzi hizo Mzena. Halafu RPC, RCO na DSO walipandishwa kizimbani na walipigwa mvua kibao isipokuwa mmoja tuu asliyekuwa akitetewa na wakili Murtaza Lakha ndiye aliyeponea. Mazingira yale sio tofauti na kilichotokea Arusha, tofati ya enzi zile, Nyerere was a no nonsense man wakati JK ndio kwanza amewapongeza vijana wake kwa kazi nzuri.

Nadhani human right lawyers wajipange, waombe private prosecution, wathibitishe waliouliwa hawakutaka kuvamia kituo cha polisi na uthibitisho Chadema waliandamana kwa amani mpka police intevention.

Natamani kurejea tena bungeni hiyo Jumatatu ili kushuhudia facial expressions sura zikiwashuka!.
 
It's the first terrible mistake that this lady has done to CCM, but a great service to the country. Mimi nampongeza sana Mhe Anna Makinda, mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge letu tukufu pamoja na kwamba hakujua alichokuwa anakifanya katika sakata hili la Lema!
Ni kweli sasa ni wakati wa kuudhihirishia umma kuwa kweli ni ipi na uongo ni upi? Mimi ninashosema the higher the risk the higher the return sasa CDM wakiprove PM alikuwa wrong return yake itakuwa ni njema kuliko maelezo hali kadhalika wakishindwa kuprove impact yake itakuwa ni kwamba hawa jamaa ni watu wa majungu tu. Naona tarehe 14.02.2011 haiko mbali ili kujua mustakabali wa jambo hili!
 
Hivi mkuu wa serekali kama pinda anatofauti gani na mavi yangu ya asubui anapo potosha uma na bunge kwamba maneno ya viongozi wa chadema ya twendeni tukawakomboe viongozi wetu polisi kwanini hakuelezea ilikuwa je mpaka viongozi wa chadema wakasema hivyo?ile enzi ya mtu mzima akijamba huwezi kumwambi umejamba siyo hii siku hizi baba akijamba unamwambia kabisa baba umejamba tena ushuzi wako unanuka ile mbaya.
mgafilika, nakuomba usighafilike mpaka kumfananisha kiongozi wetu huyu wa taifa na hicho ulichofananisha. Hizi sio tuu ni lugha chafu, lugha za kihuni, bali pia ni maneno ya chooni! Kwa lugha kama hizi ndizo zinapelekea wenye hekima zao kuiona jf kama kijiwe cha watu wa lugha chafu za chooni, nawaombeni sana sana, pamoja na hasira zetu kwa madudu yanayofanyika bungeni, tuwe wastaarabu, heshima kitu cha bure!.
 
Kama Lema anatakiwa kuthibitisha uongo wa Pinda,kwanini Pinda hajathibitisha habari zake 'za kuambiwa'?

Madhara ya falsafa ya Vodafasta, ambayo Watanzania tumechukulia kama ndio fasta suluhisho la matatizo yetu, inaelekea huyu spika ni vodafasta kabisa. You can never prove the negative, never ever.

Nadhani ana deficiency ya logic kichwani mwake.
 
Mtu akishafikia umaarufu fulani wakati mwingine inakuwa vigumu kumtenganisha na taasisi yake kwa hiyo usishangae michango ya mada hii ikawa two in one hizo ndizo gharama za umaarufu "public figure"Siku zote nashangaa kwa nini watu wanatumia gharama kubwa na miaka mingi katika harakati zakusaka umaarufu (wengine hata kuua wenzao) lakini wakishakuwa maarufu wanaficha nyuso za nyuma ya mawani makubwa ya jua baibui kama alivyowai kufanya Michael Jackson huko Dubai na wengine wanajizungushia fensi za umeme na wakiwa nje ya makazi na ofisini ni msafara wa mabodyguard kibao kama huyu anayejaribu kumkingia kifua Makimda yahe unalipwa kiasi gani?
 
Madhara ya falsafa ya Vodafasta, ambayo Watanzania tumechukulia kama ndio fasta suluhisho la matatizo yetu, inaelekea huyu spika ni vodafasta kabisa. You can never prove the negative, never ever.

Nadhani ina deficiency ya logic kichwani mwake.
:clap2:
 
ni tatizo la kuchagua speaker kwa kigezo cha kuvaa sketi tu basi, bila kuangalia mengine.mara mia wangemchagua bibie yeyote hapa jf akawe speaker kuliko huyo makinda
 
Back
Top Bottom