Bunge la leo si la kujadili mswada wa katiba mpya. Ni vijembe tu.

mtoto mzee

Member
Nov 10, 2011
38
4
naamini wabunge waliokuwa bungeni leo, hata wasingeenda. Hakuna walichofanya zaidi ya kupiga vijembe WANAHARAKATI. Sijui ndo mswada wa leo........! Tusubiri mwisho wao utakuaje!
 
Yote haya ni ya magamba wa Ccm.CDM kuminus nje ni normal coz wa find maendeleo ya nchi na ni lazima wa pigwe vijembe ili watanzania*(Bara) wapate keki ya nchi,si semi wa zanzibar kwani kule wana ongozwa na CCM MAGAMBA na CCM B(cuf).
 
Back
Top Bottom