Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Leo bunge la Kenya limeanza tena kikao cha 4 cha bunge la 10 la nchi hiyo.
Kulikuwa na tetesi kuwa huenda baadhi ya wabunge wangeleta hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Raila Odinga.
Pia wanatarajiwa kuzungumzia suala la kuwepo kwa katiba mpya.
Tupeane habari za maendeleo ya vikao hivyo hapa.