Bunge la katiba ilikuwa zamu ya wanawake sasa zamu ya wanaume sita anafaa zaidi

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
251
55
Ndugu zangu watanzania bila shaka kesho linaanza bunge maalum la katiba na litakuwa na mwenyekiti wake na kwa kuwa ilikuwa zamu ya wanawake kuongoza bunge ni dhahiri sasa ni zamu ya wanaume na kuwa mzee samweli 6 alionekana kulimudu sana kuongoza bunge lenye mikiki ya akina slaa na sasa imeonekana huyu wa sasa ameshindwa kabisa kumudu bunge la sasa la akina halima mdede na akina filikunjombe na kwa kuwa ccm ina wabunge wengi ni dhahiri wakiamua wanaweza kutoa mwenyekiti wa bunge la katiba mimi nashauri SAMWELI SITA ANAFAA ZAIDI NA KAMA NI UPINZANI BASI TUNDU LISSU ANAFAA ZAIDI NA KAMA VIPI TUPATE SPIKA ASIYE KUWA MBUNGE WA BUNGE LA KATIBA ITAKUWA POA ZAIDI
 
Kwakuwa mwenyekiti/mbunge wa bunge kama hilo anapatikana kwa kura za wabunge..ccm niwengi hivo hawatamchagua 6,washamjua mcmamo wake. Ingekuwa anapatkana kwa hoja anagepita!
 
Mzee wa Vijisenti is the best for now! Ukiacha upuuzi wetu wa kusema fisadi
 
Zamu ya mtu asiye mbunge kuongoza bunge la katiba hasa kutoka taasisi za dini.
 
Hapo awe 6 au mwingine yeyote tunacho hitaji sasa watz wote bila ya kujali wewe ni chadema au mimi ni ccm,waje na hoja zao zenye maslahi ya watz wote katika zoezi hili muhimu la uundwaji wa katiba yetu watz,wasije wakaja na hoja zao binafs zenye malengo yakujitaftia umaarufu wa kisiasa,maana wanasiasa wetu siku hizi hawaangalii misingi ya wanacho takiwa kukifanya kwa maslahi ya watz,wao kazi nimoja tu kutafuta umaarufu,
 
Inaashiria kuwa aliyepewa agenda ya CCM ni mzee wa vijisenti na sio Sam 6, ingawa kwa kweli angefaa zaidi! Sam 6 ni kada wa CCM lakini ana sense ya haki kuliko huyu mwingine na ana mtazamo wa Katiba ya Wananchi na si ya chama chake.
 
ni zamu ya wazanzibar kuliongoza bunge hilo
. Kuna mbara alisha pata nafasi hata ya ushiriki Znz? Ss hiyo zamu ya znz yann?. Kwanza hua nawashanga wanapo fikia kudai zamu ya urais wa muungano. Napenda ibaki serekali 2 na kipatikane kipengele mbara awe na zamu ya kugombea urais znz kama wao walivyojipendelea kugombea tanganyika
 
Hivi mnajua madhara ya mchezo wa zamu? Waulizeni wanawake walioolewa na mume mwenye wake wanne. Ipo siku tutakuja kumpata "kichaa" atuongoze eti tu kwa sababu ni zamu ya upande fulani. Nashauri tuwe tunaangalia watu wenye uwezo wa kutuongoza bila kujali anatokea wapi.
 
Inaashiria kuwa aliyepewa agenda ya CCM ni mzee wa vijisenti na sio Sam 6, ingawa kwa kweli angefaa zaidi! Sam 6 ni kada wa CCM lakini ana sense ya haki kuliko huyu mwingine na ana mtazamo wa Katiba ya Wananchi na si ya chama chake.

Well said...
 
ukiona mtu anaanza kusema maneno hayo kwenye red ujue ni team lowassa. (haoni ufisadi pale ulipotufikisha, hasa ukiangalia deni la taifa)

Mkuu, hawa jamaa wanakera sana. Wangejua jinsi hawa mafisadi wanavyotutesa hadi hivi sasa kwa kutupandishia bei ya umeme, sijui kama hata angeweza kutamka maneno hayo mbele ya wazazi wake halali.
 
Back
Top Bottom