Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa linatawala nchi

Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza mheshimiwa Ndugai kwa kutumia busara kukubali hoja ya Mheshimiwa Zito na vile kukubali iundwe kamati ya kuangalia suala hilo kwa undani.Lakini tukirudi nyuma,yeye mwenyewe naibu spika kwa maneno yake amesema,''Bunge haliwezi kuona Waziri mkuu amedharauliwa kiasi hiki likakaa kimya.''TAFSIRI YAKE NI KWAMBA,NI KWELI WAZIRI MKUU NA BUNGE KWA UJUMLA WAMEDHARAULIWA.Sasa mheshimiwa Pinda anasubiri nini?Naamini Watanzania wote watamuunga mkono kama hatasubiri ripoti ya tume.akachukua uamuzi wa kujiuzulu,atabaki na heshima yake na heshima kwa bunge na Watanzania wote kwa ujumla!<br />
<br />
Jipumzikie mzee Pinda,serikali yenyewe hii ya kisanii,wakati wewe ni mchapa kazi!
<br />
<br />
nakupa big up kwa mawazo yako mazuri.
 
Back
Top Bottom