Bunge la Jamhuri ya Muungano limepitisha muswada wa sheria unaotamka kuwa kukutwa na bangi, mirungi sasa ni kosa la jinai

Wanaacha mambo ya msingi wanaelekeza nguvu kwenye mambo ya kipumbavu

Lingekuwa ni bunge la wananchi lingeangazia kuhusu rushwa, uvunjifu wa haki za binadamu na utawala wa sheria katika kila engo
 
Sheria nzuri, Tanzania tumechagua kukataa bangi na mirungi hivyo lazima tuwe na sheria kali kukomesha hilo. Wanaopinga sijui shida iko wapi?
 
Hivi Hawa makaburu weusi CCM mbona wakua marofa Hivi Hivi hawajui bangi ingeruhusiwa kuzalishwa nchini kitaalamu ingesaidia kuongeza mapato makubwa hasa Kwa sisi wa huku nyanda za juu kusini Kama Njombe?

Hawa wapumbavu wanakumbatia masheria ya kijinga Sana ya kizamani basi wangeruhusu hata zao la Hemps lenye faida kubwa kiuchumi
Wao wanaiwazia bangi Kwa mawazo finyu badala kuitumia Kama faida
Ona wenzao Afghanistan Talibani wanalima Opium zao ambalo linazalisha madawa mbali mbali ya binadamu ila ikitumika vibaya inazalisha madawa ya kulevya ila wao wamechukua Kwa faida ndio inawasaidia mbaka wanakua na nguvu ya kuchukua serikali
Sasa linchi masikini linakombatia masheria ya kijima
Wakati Dunia ya kwanza wanatumia Kama faida
Shwain!
 
Sheria nzuri, Tanzania tumechagua kukataa bangi na mirungi hivyo lazima tuwe na sheria kali kukomesha hilo. Wanaopinga sijui shida iko wapi?
acha uzwazwa wewe maCCM hayana maono hayo mazao yanakataziwa nchi masikini tu wakati wenzenu huko wanazalisha kwa sababu yana faida kubwa kibiashara
Wanataka wakontrol soko kuu peke Yao Kwa kuwahonga viongozi mazwazwa ya Afrika yapige marufuku kuyalima na yawe haramu wakati ni Moja ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi
Amka wewe upo kizani!
 
Ole wenu mnaopokeapokea vi-parcel vya watu, hasa airport. Ooh! nisaidie haka kamzigo utamkuta jamaa anakusubiri airport! Ole wenu msiojua, itakula kwenu!
 
Herb is the healing of the nation while alcohol is destruction,sishangai ndio maana mpaka leo nchi inakimbiza moto na kuita maendeleo.
 
Naona patrol likipitishwa mtaani sasa
Watumiaji mkae mguu sawa😂😂

Ova
 
Serikali isisahau kufanya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi kuwa kosa la jinai pia. Wasitegemee tu kubaki kwenye 'statutory rape', wawe specific zaidi maana kuna wanafunzi wapo juu ya miaka 18.
 
Back
Top Bottom