BUNGE LA FEBRUARY NI MAALUMU KWA AJILI GANI NA LInAANZA NA KUISHA LINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUNGE LA FEBRUARY NI MAALUMU KWA AJILI GANI NA LInAANZA NA KUISHA LINI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Feb 6, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  NAOMBA KUULIZA WADAU BUNGE LA SASA NI BUNGE LA NINI?YAANI LITAKUWA LINAZUNGUMZIA NINI ZAIDI

  NA JE LA NGE HILI NASIKIA LINAANZA WIKI IJAYO NI LINI HASA SIKU LINAANZA NA LITAISHA LINI

  KAMA KUNA MDAU ANA RATIBA YA BUNGE HILI TAFADHALI ANIPATIE

  ahsanteni
   
 2. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa kawaida bunge uanza mkutano wa kwanza kila j4 na hufungwaga alhamis wakat kule zanzba uanza j5.hivyo bas kama ni nextweek itakuwa ni tr 9. mkutan huu ni wa kawaida na ni two weeks had alhams ya mtondogoopp
   
 3. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Litatusaidia kutofautisha wabunge walitumwa na wananchi, wabunge wasikilizaji na wapiga usingizi kabla ya bunge budget.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Katiba na Dowans huenda vitachukua nafasi.
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  wiki moja itatosha kujadili hoja binafsi zote zilizotangazwa kupelekwa bungeni au ndio lipua lipua ??
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,688
  Likes Received: 82,542
  Trophy Points: 280

  Itakuwa ni kufunika mashimo tu na kujifanya wanatenda kazi za bunge kumbe ni usanii tu wa Wabunge wa CCM na spika
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Nji hii sanaaa sana haya ngoja tuone bunge la february
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ni lipualipua tu!
   
 9. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  SASA NA WAPINZANI WAKIIGA LIPUA LIPUA WANANCHI TUTAACHAJE KULIPUA LIpUA
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Kikao cha Bunge kinaanza J.4 tar. 8/2/11 saa 3 asubuhi.

  Press release ya Bunge itatoka kesho just to say kikao kinaanza J.4 na kitamalizika Alhamisi ya 17 saa 7 mchana.

  Press release hiyo inatakiwa iseme kila kitakachojadiliwa lakini haitafanya hivyo zaidi ya kueleza kuhusu kipindi cha maswali na majibu.

  Kazi ya kwanza itakuwa ni kwa spika kuwateua wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge huku zile kamati tatu muhimu kuliko zote, PAC, LAC, POC zikiwa chini ya uongozu wa kambi rasmi ya upinzani, kwa maana hiyo zitakuwa chini ya Wachadema this time Zitto akiongoza PAC, Tundu Lissu POC na John Mnyika LAC.

  Kama kawa, kipindi cha asubuhi ni cha maswali na majibu na mchana ni hoja za serikali huku jioni ni majadiliano ambapo hutuba ya rais kulizindua bunge itajadiliwa ikiwemo Chadema kulaaniwa kwa jinsi walivyomdhalilisha JK kwa kutoka nje.

  Alhamisi ndio siku rasmi ya Waziri Mkuu kuthibitisha ataweza kulimiliki Bunge kwa kujibu maswali ya papo kwa papo, swali la kwanza likitoka kwa Freeman Mbowe.

  Shughuli kubwa haitakuwa ndani ya bunge bali nje ya Bunge. The lobby groups zitakuwa anga za bungeni wakati wote wakiwahonga wabunge wetu vibahasha vinene kwa jina la sitting alowances za kuhudhuria vi semina, warsha na Makongamano vitakavyoshehenezwa mjini Dodoma ili angalau waheshimiwa wabunge wetu wapate chochote kitu kuwalainisha wapunguze makali kwenye baadhi ya hoja.

  Nitakuwepo kuwepo viwanjani hapo kuwaletea haya na yale nje ya Bunge.
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hivi muuza sura atakuwepo Dodoma??
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Maria Roza, muuza sura ni nani?.
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Vasco da gama
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Vasco ni sehemu ya bunge ila yeye sio mbunge hivyo hatakuwepo. Ila we Maria Roza hauna adabu!. Yaani Vasco ndio unamuita muuza sura!. Jamaa ni HB wa ukweli usimfananishe na mashalo balo!.
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  GREAT THINKER THANKS SO MUCH,UMEFAFANUA VIZURI SANA BIG UP

  SASA BADO NA SWALI MOJA HIZO KAMATI ZA KUDUMU NI ZIPI NA ZINADUMU MPAKA BUNGE HILI LIISHE AU HATA KAMA WATACHAGULIWA TENA 2015 KAMATI HIZO ZITAENDELEA NA JE NANI KAWATEUA MNYIKA,TUNDU NA ZITTO KWENYE HIZO KAMATI ULIZOTAJA?
  POC,LAC NA PAC NI KAMATI GANI HIZI

  tufafanulie tafadhali
   
Loading...