johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Pamoja na mapungufu ya vyama vya upinzani lakini bado vinasaidia kumantain umoja wa kitaifa.
Sipati picha katika mazingira ya sasa hali ndani ya bunge la chama kimoja itakuwaje......na hasa nikikumbuka wosia wa mwalimu Nyerere kuhusu kula nyama.
Nilimsikia mkurugenzi wa TIC mr Mwambe anasema viongozi tunakanyagana wenyewe kwa wenyewe sasa mkanyagano huo unaweza ukawa unaanzia bungeni tena kwa vigezo vya udini na ukabila maana wakati huo hapatakuwepo Cuf wala Chadema.
Niwatakie usingizi mnono
Maendeleo hayana vyama!