Bunge la Catalonia lapiga kura kujitangazia uhuru kutoka Uhispania

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Bunge la Catalonia lapiga kura kujitangazia uhuru kutoka Uhispania, Madrid inachukua hatua kuchukua udhibiti kamili.

Source: BBC
 
Real. Madrid - > serikali ya Madrid.
Barcelona - > serikali ya Catalonia.
 
Serikali ya Madrid na Jumuiya za kimataufa hazikubaliana na kitendo hicho. Huenda the upper house of Spain Parliament ikaruhusu kutumika kwa article 155 ambayo inaiagiza serikali kuu kulichukua jumla jimbo hilo au lolote lile. Kulichukua jumla maana yake Catalunya itakoma kuruhusiwa kuwa na serikali yao na kujiendeshea mambo yao na badala yake itapangiwa moja kwa moja na serikali kuu kama ilivyo kwa majimbo mengine.
Hiyo article ikashapitishwa tu hadithi na story za caralunya zitakua zimezikwa rasmi
 
Back
Top Bottom