BUNGE LA BAJETI: Kuna baadhi ya Wabunge hawajachangia chochote mpaka leo....

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,099
630
Wana Jf,
Kuna Wabunge mpaka leo hawajachangia lolote katika Bunge hili la Bajeti...
Nimekuwa karibu sana na Bunge la Bajeti lakini siwaoni Bungeni wala michango yao.

Na wengi wao wana majimbo, na huu ndio wakati muhimu wa kuwabana Mawaziri ili
kupeleka maendeleo Jimboni, sasa hawapo na wala hawalalamiki kuhusu majimbo yao.

1. Rombo...nani anawasemea hapa mjengoni?
2. Moshi Mjini nani anawapigania??

Cha ajabu kuna wabunge viti maalumu wana mchango mkubwa sana kuliko wale wenye
Majimbo.
Shukrani kwako Easther Bulaya, Kiguli na Martha Mlata.

Mandla.
 
Huu ndio muda sahihi wa kuwabana Mawaziri,,,Ili kupeleka maendeleo kwenye Majimbo Yenu...
 
Moshi mjini hata akigombea Mwenyekiti Taifa wa CCM hapati hata kura 20

Elimu yako ikoje mkuu??
Hatuzungumzii kugombea bali michango ya Wabunge wakati huu muhimu wa Bunge la Bajeti...
 
Wana Jf,
Kuna Wabunge mpaka leo hawajachangia lolote katika Bunge hili la Bajeti...
Nimekuwa karibu sana na Bunge la Bajeti lakini siwaoni Bungeni wala michango yao.

Na wengi wao wana majimbo, na huu ndio wakati muhimu wa kuwabana Mawaziri ili
kupeleka maendeleo Jimboni, sasa hawapo na wala hawalalamiki kuhusu majimbo yao.

1. Rombo...nani anawasemea hapa mjengoni?
2. Moshi Mjini nani anawapigania??

Cha ajabu kuna wabunge viti maalumu wana mchango mkubwa sana kuliko wale wenye
Majimbo.
Shukrani kwako Easther Bulaya, Kiguli na Martha Mlata.

Mandla.

Yaani we kiazi kweli humuoni mbunge wa rombo kila cku akichangia? Kwanini usiwaongelee akina Lameck airo a.k.a Lakairo akina Mohamed Dewji.
 
Kuna mbunge mmoja wa jimbo la tumbatu pia sikuwahi hata siku moja kumsikia amesema, nikajiuliza yeye hana mchango wowote
 
Kweliiii??? Kuna taarifa kuwa Manispaa ya Moshi hakuna barabara za lami e.g Pasua kwa Meya wa Mji,
Soweto, Majengo na Njoro hivi kweli hamna shida???

Mkuu hawa wajamaa wengi hawajitambui, Ushabiki wa vyama umewazonga kupindukia, mpaka wanasahau kuwa maendeleo yetu ni muhimu kuliko vyama vya siasa.
 
Bora kusema ndio kuliko kutoka nje, , utoto unawasumbua, uchu wa madaraka,ushamba wa siasa na kukurupuka kwa maamuzi.
 
Back
Top Bottom