Bunge kweli ni rubber stamp, kama rais analalamika kunachopitishwa na anachisaini ni tofauti sisi tufanyeje?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.

Kama hii ni kweli,basi ni hatari sana na kama tungekuwa nchi "Serious kwenye masuala serious" bunge lingetoa hoja ya kuundwa kamati teule ya kupitia sheria zote na kuchunguza kama kile ambacho huwa wanachopitisha je ndicho kinachopelekwa kwa Rais ili akisaini?vinginevyo haija haja ya kuwa na bunge!.
 
Huko nyuma walikuwa wanatawala chama gani??? mpaka analalamika hivo

Pili Kwa Bunge lipi analozungumzia Kwa mfano Lenye mamlaka ya kihivyo lililotukanwa na DAB na bado aliitwa na kamati ya nidhamu hakwenda na yeye yupo magogoni anaendelea kupunga upepo Wa bahari. Hiyo sentensi ya mwisho ndio Safi Bunge la Tanzania Hakuna cha maana wanachofanya Na ukweli Hakuna haja ya kuwa na Bunge ikiwa wao wenyewe uongozi au heshimu maamuzi ya Bunge. Liondolewe tu wanakula tu kodi nzetu za bure.
 
Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.

Kama hii ni kweli,basi ni hatari sana na kama tungekuwa nchi "Serious kwenye masuala serious" bunge lingetoa hoja ya kuundwa kamati teule ya kupitia sheria zote na kuchunguza kama kile ambacho huwa wanachopitisha je ndicho kinachopelekwa kwa Rais ili akisaini?vinginevyo haija haja ya kuwa na bunge!.

hebu tujuzane hivi hakuna utaratibu wa bunge kufuatilia kilichopitishwa ndo hicho kinachosainiwa na rais?laima kuwe na mechanism ya check and balance kama hakuna kitu kama hicho basi tuliihafikishwa pabaya na hawa wanasheria wa nchi hii.ni muhimu sasa kuwe na ufuatiliaji wa sheria zote inaopitishwa na bunge na pawepo na chombo huru cha kupitia sheria hizo inginevyo mambo hataenda vzr.
 
Kama ni kweli kinachosainiwa ni tofauti na bunge lilichokipitisha na wanasoma sheria kamili bila kuhoji mabadiliko, hatuhitaji bunge.

Tena wasiendelee kumghasi Pascal Mayalla
 
Kwa mantiki hiyo bunge is useless... Hii ni kashifa KUBWA SANA KWA BUNGE LA JAMHURI. HAKUNA MATUSI MAKUBWA KWA BUNGE KULIKO HAYA. Badala ya bunge kukomaa na akina pascal Mayala’s walitakiwa wakomae hapa mpaka kieleweke. Vinginevyo wanakula pesa zetu bure pale mjengoni. Mh spika, kutunza heshima yako , amka, komaa angalau Kwa Hili maana bila shaka una support Hata ya rais
 
Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.

Kama hii ni kweli,basi ni hatari sana na kama tungekuwa nchi "Serious kwenye masuala serious" bunge lingetoa hoja ya kuundwa kamati teule ya kupitia sheria zote na kuchunguza kama kile ambacho huwa wanachopitisha je ndicho kinachopelekwa kwa Rais ili akisaini?vinginevyo haija haja ya kuwa na bunge!.
huwa anasaini tu bila kusoma?
 
Bunge lilipaswa kulalamika, ila aliposema Pascal Mayalla ikawa nongowa na sasa wamempoteza hatujuhi hata alipo.
 
Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.

Kama hii ni kweli,basi ni hatari sana na kama tungekuwa nchi "Serious kwenye masuala serious" bunge lingetoa hoja ya kuundwa kamati teule ya kupitia sheria zote na kuchunguza kama kile ambacho huwa wanachopitisha je ndicho kinachopelekwa kwa Rais ili akisaini?vinginevyo haija haja ya kuwa na bunge!.
Mambo mengine ni vigumu hata kuyaamini na kama ni kweli,basi nchi hii itakuwa nchi ya wahuni!Kuna haja ya kufuatilia tuhuma hizi kikamilifu, na wote walioshiriki katika uhuni huu, wachukuliwe hatua kali kufuatana na sheria za nchi yetu.Watu waliopewa dhamana ya kuitumikia na kuilinda nchi watafanyaje tena vitendo vya kuihujumu?No,vitendo hivi havina totauti kabisa na uhujumu uchumi na taifa,kwa hiyo ni lazima wahusika wawajibishwe ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Nashindwa kabisa kuelewa "Characters" za wabunge wa nchi hii lkn kikubwa zaidi ni kuwa kwa kadri rais atakavyokuwa sehemu ya bunge, kwa mujibu wa katiba, tusitegemee mabadiliko, tutazidi tu kuwa na bunge "Muhuri" hata kama kina Msukuma na kina Kibajaji wakiondoka...!!!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom