Bunge kusitisha uuzwaji UDA? 270 Milioni zaingizwa akaunti ya Idi Simba

Duh hii kali hata huyo Simba nae yumo kwenye kundi hilo!!!!!!!!! Basi nimejua sasa kwa ninin CCM hawakamatani hata Jairo atapeta tu hadi kustaafu Wote wezi tu, WIZI WATUPU!!
 
MPs: Arrest those behind UDA sale deal
Wednesday, 03 August 2011 23:56


By Tom Mosoba
The Citizen Reporter
Dodoma. Pressure mounted yesterday on the government to terminate the reported sale of Dar es Salaam transport company (UDA), with some Members of Parliament demanding the arrest of those behind the deal, which they roundly described as "a sham."

On the day the media revealed that up to Sh320 million in reported commitment fees for UDA purchase ended up in the private accounts of its board chairman and former cabinet minister Iddi Simba, the saga took centre stage in Parliament as government came under severe criticism over the manner in which it has handled the matter.

The chairman of the Parliamentary Committee for Infrastructure, Mr Peter Serukamba (Kigoma Urban-CCM), shadow minister for Transport Mohanga Said Ruhwanya (Special Seats-Chadema) and several MPs rooted for investigations while noting that there were grave mistakes in the deal that raise suspicions.

MPs Abdi Karim Shah (Pangani-CCM) and Dr Charles Tizeba (Buchosa-CCM) were among those who demanded that the Controller and Auditor General (CAG) and the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) be immediately dispatched to carry out a special probe of UDA affairs.

They were contributing to the budget of the Transport ministry which was tabled in the National Assembly yesterday by minister Omar Rashid Nundu (Tanga Urban-CCM).

Mr Nundu irked the MPs when in his budget plan, he appeared to skirt around the controversy surrounding the sale of the company, which is owned jointly by the government and the Dar es Salaam City Council.

Despite revelations that the government's stake had been sold to a private company, Simon Group Limited, Mr Nundu told Parliament his ministry would engage a consultant this year to carry out an asset audit and prepare UDA for privatisation. According to the minister, investors who showed interest had been found wanting.

However, Mr Serukamba noted that the government was in the dark, and suggested it immediately summons a shareholders' meeting to review the whole process that led to the sale of its shares and the contract with Simon Group.Mr Serukamba said his committee has in the meantime formed a team to closely monitor developments and report back to Bunge.

Ms Ruhwanya said it was surprising that Simon Group that was rejected in 2008 over single sourcing concerns was back in the picture.The shadow minister queried the whereabouts of Sh320 million paid by the private firm, ostensibly as part of a total of Sh400 million in commitment fees. She said despite owning property estimated at over Sh12 billion, the sale of the state's 49 per cent stake at UDA was pegged at just Sh1.2 billion.

 
Hili suala la UDA kwa nini linazuiwa kujadiliwa ndani ya Bunge la JMT? Ripoti ya CAG kuhusu Mashirika ya Umma kwa kipindi kinachoishia Juni 2013 inaweka bayana kuwa;

Kwa kipindi kilichoishia tarehe 30 Juni, 2013 watendajiwakuu wa mashirika 177 kati ya 179 waliwasilisha hesabu
zao kwenye ofisi yangu kwa ajili ya kukaguliwa. Mashirika
mawili (2) ambayo ni Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA)
na Kampuni ya Huduma za Majini hayakuwasilisha hesabu
zake. Shirika la Usafiri Dar es salaam halikuwasilisha hesabu
zake kwa mantiki kuwa umiliki wake haueleweki

Ripoti inaendelea kueleza kuwa;

Uuzwaji wa Hisa za UDA
Shirika Hodhi la Mali za Serikali (CHC) lilikuwa na jukumu la
kuuza hisa za UDA na sio Bodi ya Wakurugenzi kama
ilivyofanyika. Mwezi Julai, 2010, CHC iliishauri Bodi ya
Wakurugenzi wa UDA kupata idhini ya serikali kabla ya
kuendelea na uuzaji wa hisa za UDA. Bodi ya Wakurugenzi
wa UDA iliendelea na uuzaji wa hisa hizo bila kupata kibali
cha serikali. Shirika Hodhi la Mali za Serikali (CHC) lilitoa
ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi wa UDA kuwa njia ya wazi
itumike kulingana na sheria ya Manunuzi ya Umma ili
kumpata mwekezaji bora katika Shirika la UDA. Bodi ya
Wakurugenzi wa UDA ilipuuza ushauri huo na kuendelea na
uuzaji huo wa hisa za UDA ambazo zilikuwa hazijagawiwa
(unalloted shares).
● Hisa za Shirika la UDA zilithaminishwa kwa bei ya shilingi
744.79 kwa kila hisa mwezi Oktoba, 2009 na mwezi
Novemba, 2010 thamani ya kila hisa ikawa 656.15. Hata
hivyo, katika uuzaji huo, Bodi ya Wakurugenzi ya UDA ilitoa punguzo la asilimia 60 kwa kila hisa kwa
mwekezaji huyo (kwa tathimini ya bei ya hisa ya mwezi
Oktoba, 2009), bila kuwepo na sababu za kufanya hivyo.
Kwa hiyo kila hisa ilitakiwa kuuzwa kwa shilingi 298
kutoka shilingi 744.79 kwa hisa moja ambayo
ilithaminishwa mwezi Oktoba, 2009 na hivyo
kusababisha UDA kupata hasara ya shilingi bilioni 1.559.
Vile vile ukaguzi ulibaini kuwa Bodi ya UDA iliingia
mkataba wa kumuuzia mwekezaji hisa 7,880,303
ambazo hazikugawiwa kwa bei ya shilingi 145 kwa kila
hisa kwa jumla ya shilingi bilioni 1.143 badala ya shilingi
744.79 kwa hisa kulingana na ripoti ya mshauri ambapo
hisa hizo zingekuwa na thamani ya shilingi bilioni 5.869.
Hii ilisababisha shirika kupata hasara ya shilingi bilioni
4.727. Kwa kutumia bei ya hisa ya shilingi 298 na 145
badala ya shilingi 744.79 kwa hisa moja iliisababishia
serikali hasara ya jumla ya shilingi 6.285 (shilingi 1.559
na shilingi 4.727).
● Mnunuzi (mwekezaji) alilipa kiasi cha shilingi 145 kwa
hisa moja na kulipa jumla ya shilingi milioni 285
kinyume na thamani ya hisa ya shilingi 744.79 au 656.15
kwa hisa moja. Bodi ya Wakurugenzi ya UDA ilitoa
punguzo la bei ya hisa hadi kufikia shilingi 145 kwa hisa
moja ambazo hazikugawiwa, ukilinganisha bei ya
punguzo iliyokuwa imeshafanyika mwanzoni ya Shilingi
298 kwa hisa moja ambapo inaonekana iliongeza tena
punguzo la asilimia 53.

Ripoti ya Makadirio ya Thamani ya Hisa na Mali
za UDA
Ripoti ya makadirio ya thamani ya hisa
iliyoandaliwa tarehe 30 Oktoba, 2009 na tarehe
15 Novemba, 2010, ilionyesha thamani ya mali za
UDA ikiwa ni pamoja na mitambo na vifaa.
Makadirio yaliyofanyika mwezi Agosti, 2009
hayakuainisha jumla ya mali za Shirika ukiondoa madeni yote (Net Assets). Pia haikuonyesha
madeni ya Shirika ambayo ni jumla ya shilingi
milioni 473.241 ambayo yaliripotiwa kuwa
yalishahamishiwa kwa Msajili wa Hazina
 
Hivi huyu anayejitapa kupambana na ufisadi nchini, hili la Idd Simba mbona analiogopa kiasi hiki kama anavyoigopa Lugumi? KULIKONI!?

Hili suala la UDA kwa nini linazuiwa kujadiliwa ndani ya Bunge la JMT? Ripoti ya CAG kuhusu Mashirika ya Umma kwa kipindi kinachoishia Juni 2013 inaweka bayana kuwa;



Ripoti inaendelea kueleza kuwa;
 
Hivi huyu anayejitapa kupambana na ufisadi nchini, hili la Idd Simba mbona analiogopa kiasi hiki kama anavyoigopa Lugumi? KULIKONI!?
Anajitahidi, lakini anapobagua na kutaka wezi wengine wasiguswe eti hawezi kufukua makaburi anatuangusha sana. Mwizi ni mwizi tu, hata kama awali alikuwa ndiye bosi wake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na hicho ndicho tunachokitaka Watanzania tulio wengi kwamba mwizi ni mwizi tu bila kujali wadhifa wake wa sasa au uliopita wote hawa inabidi sheria iachwe ifuate mkondo wake bila kupindisha sheria za nchi na upendeleo wa aina yoyote.

Anajitahidi, lakini anapobagua na kutaka wezi wengine wasiguswe eti hawezi kufukua makaburi anatuangusha sana. Mwizi ni mwizi tu, hata kama awali alikuwa ndiye bosi wake.
 
Back
Top Bottom