Bunge Kuchunguza Jinsi Gani CCM na Kikwete Waliba Kura! Tukigundua Kikwete Kaiba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge Kuchunguza Jinsi Gani CCM na Kikwete Waliba Kura! Tukigundua Kikwete Kaiba?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Nov 9, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunajua NEC Iliundwa Baada ya Bunge Kuunda Huu Utaratibu Kutokana na Katiba. Tunasisitiza Bunge Kama Linajali Uchaguzi Ulienda Vipi, MP's should summon Makamba and All Involved During 2010 Election to Dodoma to Answer Questions. We Need to Know The Names of All Involved, Names of all Vendors and How did They Count all Votes and Reported. How Did Elections Results Reported to NEC? How was Election Funds Paid? To Who and How? Bunge Has Power Over to Investigate All These Matters and NEC Should Respond to These Questions. We Rear Want These Bunge Sessions to Be in Live TVs. Kama Hakuna Inquires Zozote Zile Tutajuaje What Happened and How do We Correct Them. Elections in Tanzania are Jokes! This Time CCM Nose Bleed Time.
  "If All Parties Failed to Agree to the Results, There Should be An Opportunities to Challenge Them Right Away and Hand Count Should Start Immediately and Not After Usalama wa Taifa Collect the Ballots"
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  haiwezekani bana..haya majitu ni MAJIZI dawa ni moja tu ...shika mapanga ingia barabarani anza kukatana mpaka tushikishane adabu..otherwise utumbo mtupu
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  Tatizo hapa kichwa cha habari chatoa matumaini ya kuwa Bunge litachunguza matokeo ya uchaguzi huu......lakini habari yake ni kuwa jinsi uonavyo na utakavyo................sasa hapo kichwa cha habari kisemavyo na maoni yako ni vitu viwili tofauti.................
   
 4. k

  ktman Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge la nini ? Wananchi wenyewe siku moja waseme basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hakuna mtawala wala jeshi litakaloweza kushindana na umma
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nxt tym andika kiswahili tu bro, ila hoja unayo na naiunga mkono
   
 6. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani bunge halitapewa nafasi ya kujadili ripoti ya wale jamaa walioongozwa na gwiji David Martin? Kama ndiyo basi ni hapa hapa !!!!!!!!!!
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kama TAKUKURU ya Hosea abayo tuliiamini kuwa ni huru imeshindwa kumuipplicate Chenge pamoja na ushahidi uliopo, Bunge ndo litaweza kutwambia ukweli juu ya wizi wa kura?? Sana sana watasafisha njia na stusikeshangaa tukiambiwa CHADEMA ndo wamechakachua hata hutwo tukura walikotupata.............mi nimepoteza kabisa imani na serikali hii............I just dont know what to believe anymore.................than my dear darling weed
   
 8. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaani huyu ndiye anayeleta jokes ndani ya jamii,we unategemea bunge la ccm,wabunge wa kuchakachua ndio wajadili mada kama hiyo.Ni kweli wameiba kura ila si wakweli au wajinga kiasi hicho cha kumwaga mchele!
   
 9. n

  niweze JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Well Hakuna hata Mmoja Alijua Lowasa Atajiuzuru Baada ya Upinzania Kulazimisha Ripoti ya Wizi Serikalini. Bila Upinzani Tunafikiri Lowasa Angeondoka Bungeni au Tungepata Information Zozote Inchini? Kama Hatuoni Hata Hao Wabunge wa Upinzani Wana Uwezo Wowote to Bring Integrity to the Parliament Thats it. Tuwape Nafasi Upinzani Bungeni. Huwezi Kusema There are No Tactical Ways to Bring Inquiries to the Floor. Watanzania Msifikiri There is No Way We can Find Out The Truth Here. We Need to Use All Tools We Have. I am sure Opposition will Find Ways and Unite to Create Check and Balance to Our Country. Thats Why They Were Elected! I don't Want to Ignore Chadema Won Several Seats. You People Want to Minimize and Make Seem This Doesn't Mean Anything. There are Parliament Tactics and Opposition Need to Learn Quick and Use Them. Let's See Your Ideas How Chadema MP's Should Work Together. Stop Being So Negative to Everything, We Have Archived So Much Despite CCM Corrupt System.
   
 10. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bunge huru lingefanya ivyo! Bunge la ccm haliwezi hata siku moja kusimama against serikali ya ccm! Kwa hiyo njia ni moja...mpigie mbunge wako simu na hakikisha umweleza msimamo wako!
   
 11. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  JF is home for great thinkers, ni vyema ungetusaidia katika mada yako kuwa wabunge wa upinzani kwa uchache wao watatumia vifungu gani kuwaita akina makamba and others bungeni? Otherwise if we dont discuss wizi wa kura intelligently hatutaweza kupata solution before 2015.
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mimi nashauri chadema waandae mkutano mkubwa kwenye uwanja wa ukombozi wa mwembeyanga ili waueleze umma wa watanzania namna kura zilivyoibwa. Watanzania wengi watafahamu kilichotokea na watajiandaa vizuri kuikomboa nchi yao kutoka mikononi mwa mafisadi na manyang'au ifikapo 2015.
   
Loading...