Bunge kuanza Kesho, Wabunge wateule wa CUF halali kuapa kulitumikia bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Kesho Siku ya Jumanne Bunge linatarajia kukaa mjini Dodoma.

Haya ni mambo muhimu

-Wabunge wa CUF wanatarajia kuapa mbele bunge la Jamuhuri ya muungano Tanzania.

-Halima mdee na Ester Bulaya wamefungiwa kwa kuonesha tabia za kihuni bungeni..

-Wabunge wengi wameshawasili Dodoma.
 
Sawa uchwara buku 7 mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzandiki uliopitiliza.... Vijana wengi sasa wanaishi maisha ya kujipendekeza kujikombakomba kwa watawala wapate chochote..... Unamlamba mtu viatu upate kitu.... Inasikitisha.
 
Back
Top Bottom