Mchezo wa mpira mara nyingi uchezaji wake unategemea sana timu pinzani inachezaje. Kukiwa na fair play mpira huwa mzuri na kutumia akili nyingi na mwenye mbinu bora huibuka mshindi.
Pale panapotokea timu moja kucheza rough mpura huanza kupoteza ladha maana kila wakati refa analazimika kupuliza kipenga cha faulu zinachezwa na hata utoaji wa kadi. Hali huwa mbaya pale waamuzi wanapofumbua faulu za wazi kwa lengo la kuibeba timu moja. Hii hufanya hata mashabiki kupata hasira na kufanya vurugu. Mfano mzuri ni mechi ya yanga na coast union juzi.
Kwenye bunge wadau wengi wanalalamika wBunge kutupiana vijembe, kuacha kujadili issue wanamjadili mtu etc kanuni za uendeshaji bunge kukiukwa kanyaga twende ndio imefikisha bunge hapo lilipo. Hivyo basi kuonyesha live au kutoonyesha live haitabadili hoja za wabunge kama refa (spika) hatoweza kuongoza mijadala kulingana na kanuni na matakwa ya kisheria.
Mfano rahisi bugdet ya waziri mkuu kujadiliwa wakati wakijua ni kinyume cha sheria kabla serikali haijatangaza kwenye gazeti muundo wa serikali yake.
Conclussion: kama wabunge wa kutokua serious bungeni kutekeleza wajibu wao na spika kufanya kazi kulingana na mamlaka aliyonayo pamoja kuzingatia sheria, tutaendelea kuona karate, ngumi, mateke, vichwa, makonzi bungeni na red kadi za kutosha kwa upinzani bila tija yeyote.
Sheria zifuatwe, bunge litimize wajibu heshima yake itarudi.
Lakimu muhimu zaidi liwe live watu waone nani amekua wa kwanza kumpiga mwenzie konzi na namna gani mtu huyo amerudisha.
Tunataka bunge live