Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF,
Mwenzenu nahisi Bunge lijalo litakuwa very interesting...
Je, watanyamaza kimya pale mambo yatakapokuwa against matarajio yao?
Pale je mambo yakifanyika bila kuwashirikisha, watakua na uthubutu wa kuhoji?
I'm sure wengine japokua mmebebwa mkapelekwa Bungeni, still kuna some of you mna genuine interest ya kuwatumikia Watanzania
Sasa mkikutana na vikwazo mtafanya nini eti? kutumikia chama? au Wananchi?
Aliyesema upinzani wa kweli utatoka CCM hakukosea, wote ni CCM na wote ni binadamu, mimi nahisi kutakua na mgongano na hapo ndipo chama kipya cha upinzani kita emerge.
By the way, Magufuli alishawahi kutamka hapeleki maendeleo kwenye majimbo ya upinzani haya sasa wote ni CCM ataweka criteria gani kupeleka maendeleo jimboni?
Hili li Serikali litatukosha sana Watanzania tujiandae vicheko...
Becky.