Bunge Jipya: It will be interesting to watch

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
13,547
2,000
Hello JF,

Mwenzenu nahisi Bunge lijalo litakuwa very interesting...

Je, watanyamaza kimya pale mambo yatakapokuwa against matarajio yao?

Pale je mambo yakifanyika bila kuwashirikisha, watakua na uthubutu wa kuhoji?

I'm sure wengine japokua mmebebwa mkapelekwa Bungeni, still kuna some of you mna genuine interest ya kuwatumikia Watanzania

Sasa mkikutana na vikwazo mtafanya nini eti? kutumikia chama? au Wananchi?

Aliyesema upinzani wa kweli utatoka CCM hakukosea, wote ni CCM na wote ni binadamu, mimi nahisi kutakua na mgongano na hapo ndipo chama kipya cha upinzani kita emerge.

By the way, Magufuli alishawahi kutamka hapeleki maendeleo kwenye majimbo ya upinzani haya sasa wote ni CCM ataweka criteria gani kupeleka maendeleo jimboni?

Hili li Serikali litatukosha sana Watanzania tujiandae vicheko...

Becky.
 

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,255
2,000
Ndio maana "CCM" walikimbilia kupitisha sheria ya kumwekea "KINGA" kile kijeba kisiburuzwe mahakamani kikimaliza miaka yake ya uspeaker.

Maana walijua watakitumia kuvunja katiba ya nchi.
 

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,540
2,000
Acheni wivu..waacheni ccm wakajiachie bungeni.

Heshimuni maamuzi ya watanzania.

Demokrasia sio lazima mpaka chadema ishinde.
Demokrasia gani hiyo ? chama kimoja kuhodhi bunge ndio demokrasia? Litakuwa ni bunge butu lisilokuwa na uwezo wa kuichachafya serikali
 

ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
29,811
2,000
Naomba Mungu aniwezeshe nisiliangalie hata likirushwa live. Huo muda heri nitafute 50tshs ya pipi kuliko.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom