Bunge hili kweli linaweza kukomboa hili Taifa masikini?

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
11,495
24,212
HIVI HILI BUNGE NDIO TUNALITEGEMEA LITUTOE KWENYE HUU MKWAMO? Watanzania wenzangu wenye uchungu na taifa hili na kizazi chake na bila kuwa mashabiki wa siasa, HIVI KWELI WABUNGE HAWA WA BUNGE LETU HILI TULILONALO AWAMU YA TANO WANAWEZA KWELI KUWA NA MAWAZO YA KULIKOMBOA TAIFA HILI???
BINAFSI INANIUMA SANA NINAPOONA NGONJERA,COMEDY, USHABIKI, NA KUTAFUTA SIFA KUNAKOENDELEA KATIKA BUNGE HILI LA TAIFA MASIKINI KABISA. JAMANI WABUNGE MNAOPITA HAPA JF NAOMBA MFAHAMU WATU WAELEVU WANAWADHARAU SANA KWA NYIE KUWA MUENDELEZO WA UPUUZI NA UJINGA UNALOLIACHA TAIFA LIKIENDELEA KUWA MASIKINI.
BUNGE LIMESHAKUWA SEHEMU YA MASLAHI BINAFSI NA MASLAHI YA VYAMA.. MH JPM IKIWEZEKANA LIVUNJE NA KUSIWE NA BUNGE MAANA MATATIZO YA WATANZANIA YANAJULIKANA, NI UMASIKINI NA MARADHI NDIO TATIZO LETU KUU HIVYO HATUHITAJI WAKUTUSEMEA...
WANANCHI NI WAKATI WAKUWAPIGA MAWE NA VIBOKO WABUNGE WENU MAANA NDIO SEHEMU YA UMASIKINI NA SHIDA ZENU....

TUTOE MAONI WAJUE TUNAWACHUKIA NA HAWANA MSAADA KWETU....
 
Ni kweli mkuu hawa wabunge ni tatizo na kuna ile mibunge ya ccm ndio hatari zaidi kama kibajaji hakuna cha maana anachoongea ni upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom