Bunge halina meno

Lugogo

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
304
67
Kipindi wabunge wamajadili operation tokomeza mawaziri wanaouhusika hakuna hata mmoja.spika kaombwa mwongozo kuulizwa hilo kakaa kimya.hii ni kuonyesha bunge halina meno ya kuwawajibisha mawaziri.mawaziri wameonyesha dharau kubwa.
 
Tena mwongozo umeombwa na mhe. Lema spika kapotezea!
 
Back
Top Bottom