ABEDNEGO
Senior Member
- Aug 20, 2009
- 109
- 30
Wadau natazama luninga muda huu kikao cha Bunge kinaendelea!!!Inasikitisha kuona jinsi mjengoni kulivyo kutupu!!Watu hawa wana sababu gani kukaa huku wakijua kuwa wanachukua posho za bure na hawawakilishi wananchi?Sasa hawana sababu ya kuwasilisha miswaada kwetu kwa njia ya luninga!!Najua wako majimboni, kwa posho za mjengoni.