Bunge bungeni

ABEDNEGO

Senior Member
Aug 20, 2009
109
30
Wadau natazama luninga muda huu kikao cha Bunge kinaendelea!!!Inasikitisha kuona jinsi mjengoni kulivyo kutupu!!Watu hawa wana sababu gani kukaa huku wakijua kuwa wanachukua posho za bure na hawawakilishi wananchi?Sasa hawana sababu ya kuwasilisha miswaada kwetu kwa njia ya luninga!!Najua wako majimboni, kwa posho za mjengoni.
 
aaah wako majimboni wakigawa kanga , fulana, chumvi, kofia, wengine wanadai wanaendelea mna maadhimisho ya kuzaliwa CCM...
 
Wakisharudi majimboni na posho zao haramu, wadanganyika wote tunaingia mkenge kuwapigia kura za kishindo, nji hii jamani, nani ametulaani sie?
 
Nadhani kuna haja ya kutunga sheria ya kucheki truants bungeni...hiyo ni kazi kama kazi nyingine ati?they sucks!
 
Ata HoL inakuaga empty sometime.. saizi jioni watu wanajinafas Rose Garden nk.
 
Back
Top Bottom