Bundle ya 10000 vodacom

jumaa24

Member
Oct 11, 2011
97
13
toka wajanja 9t iwe terminated ni mwendo wa kuhaha huku na kule, kwa aliyetumia hii bundle naomba aniambie hii unlimited yao ikoje? Au inatoa MB ngapi, isije ikawa kama utapeli wa kabaaaang!!
 
Kwa uvivu wako wa kuperuzi na akili ya kukariri umeshindwa kujua kuwa Wajanja Night Offer ipo isipokuwa imehamishwa kwenye menu nyingine. Bofya *149*01#; chagua nam.6 katika menu hiyo(yaani: Internet & BB); kisha utabofya 1 kwenye menu hiyo kuichagua Wajanja Night Offer.
 
Nashkuru kaka kwa uvivu wangu!! Ila nahic wewe ndio mvivu wa wavivu!!, una uhakika na usemacho?
 
Kwa uvivu wako wa kuperuzi na akili ya kukariri umeshindwa kujua kuwa Wajanja Night Offer ipo isipokuwa imehamishwa kwenye menu nyingine. Bofya *149*01#; chagua nam.6 katika menu hiyo(yaani: Internet & BB); kisha utabofya 1 kwenye menu hiyo kuichagua Wajanja Night Offer.

Hahahah...mkuu upo wapi wewe!! wajanja night imesitishwa toka juzi.
 
Kuna raia humu hawapo kwenye huu ulimwengu wa wajanja nit hiyo.huduma hamnaga tena hyo.chali.kapoteza.network.
 
Kwa uvivu wako wa kuperuzi na akili ya kukariri umeshindwa kujua kuwa Wajanja Night Offer ipo isipokuwa imehamishwa kwenye menu nyingine. Bofya *149*01#; chagua nam.6 katika menu hiyo(yaani: Internet & BB); kisha utabofya 1 kwenye menu hiyo kuichagua Wajanja Night Offer.
Vipi mkuu umeanzisha wajanja yako?
 
Kazi si kwako
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1370928779127.jpg
    uploadfromtaptalk1370928779127.jpg
    74.7 KB · Views: 74
andika neno bomba7 Tuma kwenda 15300...wanakupa 1. 5 gb(something like that) at full speed..there after they switch u to low speed(sio mbaya sana kama unatumia idm) adi siku 7 ziishe
 
Back
Top Bottom