Habari zenu wote kwa mpigo.
Nina vifaranga vya bundi 38.viko kwenye hali ya kutia hamu ya kununua.
Naviuza kwa bei nafuu.mwenye kuhitaji anitafute kwenye google.
Nime-google nikakuta kumbe Bundi ni mji uko huko Rajastan-India. Lakini nahitaji hivyo vijibundi!
Apeleke alikovichukua!Peleka sumbawangu...soko lipo
na mama yao yuko hali gani?
Nahitaji kimoja.