Bundi atua Zantel!

Oloronyo

Member
Mar 29, 2009
80
9
Habari za uhakika nilizozipata kutoka katika chanzo cha kueleweka ni kuwa yule Bosi wa huduma kwa wateja Bw.Darren Harris amesitishwa mkataba wake huku mabadiliko makubwa yakiwa yanatarajiwa kufanyika haswa katika suala la kupangilia vitengo yaani reformation.

Chanzo hicho kilibainisha kuwa hakijashangazwa na uamuzi wa menejimenti ya Zantel kufikia maamuzi hayo ambayo inadaiwa yamechelewa, kwani Bw.Harris alikuwa yupo yupo tu haijulikani anafanya nini? Nani anaripoti kwake? Na tabia yake ya Ulevi wa kupindukia.
 
sasa kama huyo bwana aliyeondolewa alikwua yupo yupo tu, inakuwaje tena iwe ametua bundi?
 
Huo ni mwanzo tu mengi yatatokea hapo,Bundi huyo alipotua Zain vigogo walianza sasa dagaa wakafuatia.
 
Back
Top Bottom