Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,452
Asubuhi nimepita pale makao makuu msimbazi washabiki wamejaa wanataka uongozi uachie ngazi haraka, hili ndio soka letu la nchi hii ukiona kuna furaha jangwani basi msimbazi lazima kuna msiba,na ukiona kuna sherehe msimbazi lazima jangwani wana matanga.
Pia kuna nyepesi nimezipata pale msimbazi wachezaji wa kigeni wamegoma kwenda Songea kucheza na majimaji mpaka walipwe mishahara yao.
Pia kuna nyepesi nimezipata pale msimbazi wachezaji wa kigeni wamegoma kwenda Songea kucheza na majimaji mpaka walipwe mishahara yao.