Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
Kafanya vizuri, kuwa msemaji wa timu ambayo haiwezi kupiga pasi tu zilizokamilika ni shida sana.
 
Utapoa mwenyew sis hatuna harka ongozeni ligi mwisho wa msimu tunafanya kama msimu ulioisha
Hamkawii kukimbiana humu
Hizi sio enzi za Jiwe na Bashite wake, mpaka mkafikia hatua ya kukufuru eti mtachukua ubingwa mpaka Kayafa atakapoondoka madarakani. Na Mungu wa ukweli kasikia sala yenu akamuondoa Kayafa,sasa mnaanza kulialia huku mkisahau ni nyinyi wenyewe ndio mlioweka hayo maagano.
 
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
Acha utakataka, Kamwaga alikuwa na mkataba wa miezi 2 na ilielezwa wazi na timu na yeye mwenyewe tangu anaingia.

Hakuna Utopolo mwenye akili.

Mchakato wa Mabadiliko Simba kwa mujibu wa kanunu za FCC Mo ni mwekezaji hivyo hawezi kuongoza bodi sababu kutakuwa na mgongano wa maslahi. Ndiyo akaachia ngazi.Na hii inaashiria kwamba mchakato Sasa umefikia hatua nzuri na za juu za utekelezaji.

Kwa mtu mwenye akili huwezi kusema Mo kakiimbia Simba ilhali yeye kawekeza bilions pale. Kakimbia kaacha hela zake.

Ndiyo utashangaa pia yanaibuka mapumbavu,kenge maji eti wanahoji Mo kaweka hela benki gani akaunti gani.Unataka uambiwe we ili ufanyeje.Akaunti Ni yako ndiyo useme utaenda kuangalia salio au kuchukua bank statement!
Uongozi wa Simba umeshasema hela iliwekwa basi,mwisho wa kuhoji.Upuuzi!Na Hawa wanaohoji Ni Hawa Misukule wa Jangwani.

Wakati mwingine muwe mnatumia ubongoy kuwaza badala ya MASABURI.

ONE TEAM ONE DREAM! tutaelewana tu!
 
Msimu uliopita Simba alianza kwa kumfunga kwa tabu Ihefu iliyoteremka daraja 2 - 1, halafu wakatoka sare na Mtibwa Moro 1-1.
Na walifungwa na Prisons, Ruvu Shooting na Yanga pia.
Yanga walifungwa mechi mbili tu na Coastal na Azam kama sikosei.
Lakini mwishoni mwa msimu killa mmoja anajua kilichotokea.
Ceo wa Simba kafiwa na Mzazi wake - sio ubinadamu kabisaa kuongelea upuuzi na Kamwaga alipewa mkataba wa miezi miwili umekwisha hakuna cha ajabu hapo.
Yanga Nugaz aliamua kuondoka lakini kiuhalisia alibezwa na kufukuzwa - Hakutajwa Bundi hapo.
Yanga wametolewa Caf champions league hatua za awali kabisa wamefungwa nyumbani na ugenini, hakuna aliyesikitika kwa wana Yanga wakasahaulishwa siku ya pili tu - Manara aliwatukana na kuwakashfu Yanga na Wana Yanga kwa killa namna miaka sita bila kusimama - leo hii kwa sababu ya NJAA wa na Yanga wamelazimishwa na Mwarabu wa kariakoo kumpokea na kumkumbatia hii sio la ajabu bali ni la karne kwa Watu kukubali jambo kama hili ni ushahidi tosha hawapo sawa upstairs - Bundi bado ni ndege bora - nyani bado naye hatakubali kufanyiwa haya.
Utayakuta sehemu pekee kwa wapenzi pekee wasiojali uongo kukutukanwa au kashfa yeyote ilimradi Bwana wao akisema chutama wote wanachutama!
Ni katika klabu ya Yanga mabingwa wa kihistoria ligi gani narudia ligi ipi -
Ligi kuu Neno kuu Ya Tanzania Bara.
Tuwape heshima yao kwa kipaji na kuyakubali yoooote hao kwa kuwa upstairs hakuna kitu.😂
 
Ishara za ukamee unazijua, ni sawa sawa upo jangwani umekaa siku30 bila maji ukaona maji hata machafu utakunywa tu, mjifunze kukubali tuko wadhaifu msimu mgumu huu kila timu imejianda

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana Simba siyo Dhaifu,dhaifu ni Wewe na Utopolo wenzio mliopigwa nnje ndani CL tena hatua za awali kabisa
 
Hii timu msimu itashinda kwa kutegemea tu huruma za mwamuzi kupitia penati au kadi nyekundu.

Kinyume na hapo, ni kipigo tu. Hakuna namna.
Mtachukua ubingwa Siku Mama Samia anaondoka madarakani. Kabla ya hapo sahauni kabisa.

Hawa wote mliosajili mwaka huu mtafukuza wote baada ya msimu baada ya kukosa kombe.
 
Una hasira na mimi badala kuwa na hasira na matokeo,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani matokeo ya simba Yana shida gani na ya kwako ni mazuri kiasi gani ambayo tayari unaona utachukua ubingwa.

Mwaka Jana Misukule iliongoza ligi miezi 3,na mlifungwa mechi 2 tu lkn ubingwa mliusikia tu.

Mngekuwa na utamaduni au uwezo wa kushinda goli hata mbili mngejisifu sana.

USHAURI: UTOPOLO WEKENI AKIBA YA MANENO LIGI NDIYO IMEANZA.

(Simba hakuna shida yyte bali ni kipindi cha mpito tu ......kwa wanaojua mpira wananielewa)

NYIE NI WANANCHI SISI NI WENYE NCHI!
 
Matokeo ya Simba hayana tatizo kabisa,tukuulize Wewe Utopolo matokeo ya Yanga CL yakoje?

Halafu uwe unasoma na kuelewa mimi wapi nimejitambulisha ni yanga utopolo soma ukaelewa, mimi sina ushabiki wa upofu nakemea yale yanayo hatarisha muenendo wa timu yangu, sasa wewe umejijaza upepo hujui hata unachobishinia mwishowe utajamba mbele za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani matokeo ya simba Yana shida gani na ya kwako ni mazuri kiasi gani ambayo tayari unaona utachukua ubingwa.

Mwaka Jana Misukule iliongoza ligi miezi 3,na mlifungwa mechi 2 tu lkn ubingwa mliusikia tu.

Mngekuwa na utamaduni au uwezo wa kushinda goli hata mbili mngejisifu sana.

USHAURI: UTOPOLO WEKENI AKIBA YA MANENO LIGI NDIYO IMEANZA.

(Simba hakuna shida yyte bali ni kipindi cha mpito tu ......kwa wanaojua mpira wananielewa)

NYIE NI WANANCHI SISI NI WENYE NCHI!
Umerizika mwenyewe nyie ndiyo wale mnaoweza mkapata mshahara wa mwezi mmoja na ukaacha kazi ni shortsighted fellas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom