Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Wewe ni kipofu angalia miradi yote inayozinduliwa kuna majina ya walio zindua!!Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo upo kwa mujibu wa sheria. Fedha zake HATOI mbunge. Inatoa Serikali.
Ktk Jimbo pana Kamati mahsusi ya mipango kwajili ya matumizi ya fedha za Mfuko huo lkn pia pana signatories kwa ajili ya fedha hizo ziwapo benki, kwa mujibu wa sheria. SIYO kwa matakwa wala mipango ya Mbunge awe CCM au Chama Kingine.
Laiti Dada Bulaya angetoa fedha zake mfukoni kutengeneza dawati hizo basi ilikuwa vema, haki na halali kujiandika yeye jina lake. Lkn fedha zilizotumika zinatolewa na Serikali.
Nikama vile mawaziri wawe Wanaandika majina yao kwenye vibao vya miradi ya Serikali iliyotekelezwa chini ya usimamizi wao! Wenyeviti wa Halmashauri hali kadhalika!
Nadhani Bulaya akitekeleza mradi fulani kwa fedha zake Mfukoni andike jinale.
Nadhani umenielewa.
Je walitoa fedha zao au walichangia
nini??
Mbunge Esther Bulaya katoa madawati kwa mfuko wa jimbo, angeamua kufadhiri Hospt ingekuwa sawa tuu!!
Madiwani acha ushabiki wa kijinga hata watoto wanao kaa chini watawashangaa??