Bunda Kumekucha, ni uchaguzi mdogo wa madiwani

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)leo knazindua Kampeni zake na Tayari Wapo Njiani kwa Maandamano Makubwa wakiwa na Mgombea Udiwani wa Kata ya Nyasura ndugu Magambo Wassira,Kampeni zikiongozwa na MH mbunge wa Musoma Vincent Nyerere.

Pia yupo Mzee mkakamavu Muhoja Kasulumbayi mbunge wa Maswa na Makamanda Wengine,Watu ni wengi sana nategemea picha zitapandishwa baadae..CCM wameahirisha kuzindua Leo kwa hofu ya Kukosa Watu.

Nawasilisha.
 
Wassira atakuwa yeye kabla ya Chadema, alikuwa Bize akiloby arejeshwe kwenye baraza la Mawaziri, ukizingatia alikuwa akiitumia Tasaf kujipanga , kazi kweli kweli.....mgombea wa CCM ni kambi ya Bulaya au?
 
Mwigulu nchemba hajatuma mwakilishi wa mabomu?
vaeni helmet full time
 
Mkutano wa Chadema Bunda kwa uzinduzi wa kampeni Umekumbwana Mtafaruku baada ya Mtendaji wa Kata kuleta pingamizi kwa Mgombea akiwa anakaribia kupanda Jukwaania hali iliyoleta Mtafaruku baada ya Wasira na Chama cha Mapiduzi kuleta barua ya Zuio la Jina La Wassira,Mtendaji yupo chini ya Ulinzi wa Polisi kwa kusababisha fujo
 
Duu hawa jamaa wa chama cha zaman wanajua hawana chao kwenye kata hiyo wanaanza kutia misukosuko hawataweza kushindana na people's powar
 
CCM kwasasa wanakila sifa ya kujigeuza kundi la Commedy. Duh! Hivi kuna mtu mwenye hatimiliki ya jina! Basi akina Jesus Navas, au Mohamed Sisoko leo hii tusingewasikia. Kweli Magamba wameshikwa pabaya.
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)leo knazindua Kampeni zake na Tayari Wapo Njiani kwa Maandamano Makubwa wakiwa na Mgombea Udiwani wa Kata ya Nyasura ndugu Magambo Wassira,Kampeni zikiongozwa na MH mbunge wa Musoma Vincent Nyerere.

Pia yupo Mzee mkakamavu Muhoja Kasulumbayi mbunge wa Maswa na Makamanda Wengine,Watu ni wengi sana nategemea picha zitapandishwa baadae..CCM wameahirisha kuzindua Leo kwa hofu ya Kukosa Watu.

Nawasilisha.

Jaman huyo si mganga wa kienyeji,anagombea ili iweje?
 
hahaha nimecheka mpaka basi..yaani huyo mgombea kabla hayo majina anayatumia kwenye vitambulisho vyote leo hii uchaguzi umefika lisitumike kweli magamba sera hawana lzimebaki bendera hadi wanaogopa kivuli cha jina la wasira
 
Tunahitaji demokrasia ya kweli kwenye uchaguzi huo
vibweka vya aina yoyote havitavumiliwa
 
Enyi Magamba msio na akili, hebu tuambieni; huyo mgombea wa CDM kuitwa Wasira amevunja sheria gani ya nchi? Mimi nina mtoto wa kiume, kwa kumu-admire Dr. Slaa, nimemwita Wilbrod Slaa. Jee nina kosa gani kisheria? Sio tu tunapelekana pelekana kama magari mabovu enyi Mizigo party.
 
Back
Top Bottom