BUNDA: Kambarage Wassira apeta CCM-NEC... Ni Mtoto wa Stephen Wassira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUNDA: Kambarage Wassira apeta CCM-NEC... Ni Mtoto wa Stephen Wassira

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 2, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Bunda

  Bw. Kambarage Wassira ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Jimbo la Bunda Bw. Stephen Wassira, ameibuka mshindi katika nafasi ya ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa.

  Nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wilayani humo ilichukuliwa na Bw. Chacha Kimanwa baada ya kumbwaga Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw. Erasto Majura na Bw. Mramba Simba.

  Msimamizi wa uchaguzi huo Bw. Maximilian Ngesi ambaye ni katibu Mwenezi CCM mkoani Mara, alimtangaza Bw. Bonfas Mwita kuwa mshindi wa ujumbe wa NEC.

  Bw. Mwita aliwashinda Bw. Cyprian Msiba ambaye ni Mtangazaji wa Kituo cha Channel Ten na Bw. Daudi Iramba.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,856
  Trophy Points: 280
  Huyu Kambarage anafananaje?
   
 3. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Naona full kurithishana
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Stephen Wassira ana Watoto Wangapi ?

  Hii CCM sio ile ya J.K. Nyerere ? Babu, Baba, Watoto na Wajukuu wote wana vyeo NDANI ya hiki CHAMA ?

  Burgoise Ruling Class is forming slowly

   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  cyprian msiba naona amevuna jeuri yake. Ana dharau sana huyu jamaa!! kujipendekeza kwingi heshima nyuma.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh...wanakula nchi yao bwana.
   
 7. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Wassira again?????? Na aje tena kukanusha au kukubali.
   
 8. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Huyu hapa

  [​IMG]
   
 9. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  hiyo sasa ndiyk heshima aliyokuwa anataka wassira,, maana lilian na ester wakikuwa ni kashfa!! wazee wengine kaazi kwelikweli.
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa ndoa au nyumba ndogo, yule mzee hakawii kusema, kwanza mtoto mwenyewe wa nyumba ndogo
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyu hawezi kumkana hata kama hana sura ya "Gombe" kama yeye, maana hajakimbia kutoka 'umagambani'
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,856
  Trophy Points: 280
  Upuuzi upi sasa? HAWAJABEBANA?
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Huyu sidhani kama atamkana!
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,856
  Trophy Points: 280
  Haya bana Paw kasema niibadili


  [​IMG]
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kumbuka na wewe unaishi kwe ghorofa la vioo.
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,856
  Trophy Points: 280
  Ama sasa na Simba humtaki? Wewe Yanga nini..basi nakuwekea huyi KOMBA...Bado wamebebana tuu

  [​IMG]
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nimetoa angalizo tu mkuu wewe endelea na mjadala.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,856
  Trophy Points: 280
  Hoja yangu ni viongozi wa CCM kubeba watoto wao katika chaguzi........ don't take this out of context......jokes aside
   
 19. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  TZ nepotism is prevalent na inazidi kukomaa kila mahali ..., kwenye vyama vya siasa, maofisi ya umma, makanisani, misikitini, you name it! ni kurithishana mbele kwa mble
   
 20. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Naona WALIISEMA CHADEMA kumbe ni yao hao CCM kuweka MKE, Mtoto, Kaka Mdogo, Mjukuu... Hapo ni Kikwete

  Kagasheki familia ya watu 7

  Wassira naye hapitwi... na wengi wengine...


  Ruling Class.jpg
   
Loading...