Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

Wanabodi Salaam!

Sina maneno mengi tazameni huu mtiti halafu Magufuli anasema anaweza kuua Upinzani Tanzania,
#Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi
View attachment 1366552View attachment 1366553View attachment 1366554
View attachment 1366555
View attachment 1366556View attachment 1366557

Kwa wakati mgumu hivi hata kama tumepishana siasa ni vizuri kuwa support wanawake hasa vijana ambao hawafati mkumbo tu. Tanzania bado tunataka wanawake zaidi. Ukiangalia vizuri hata Chadema yenyewe wanawake ndiyo wanajua vitu zaidi, wasomi zaidi na wana impact kuliko hata wanaume. Chadema walimweka Dr yule katibu badala ya hawa madada majembe.
 
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Kwani ni uongo Mwanakijiji haina maana hawazuiwi au wanatendewa haki sawa. Hili ni pamoja na matatizo yote hayo. Vilevile viongozi hawafanani sehemu na sehemu. Ni ujinga kuamini kwa sasa kuna demokrasia kwa sababu ya mkutano. Hapo kuna post za huyu akigombana na polisi yaani hata mkutano ni mpaka ugombane sana na watu
 
Wao waendelee tu kununua wanasiasa wa upinzani wakidhani ndio kuua upinzani kumbe wanaua chama chao.
 
Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili

P


Huyo ndiye wa kuoa, mwanamke wa shoka.
 
Tayari huo ni wizi na kama mnajivunia kuiba kura basi ndiyo mjue kuwa ccm imeshakataliwa na watanzania
Mkuu kukimbia na box la kura kunahitaji polis moja tu hata kama hao wote watampigia kura 2020

In God we Trust
 
Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili

P
Hapa ndipo ninaposhindwa kabisa kukuelewa Paschal. Ndege si ndege, mnyama si mnyama!! Kwenye upinzani upo na kwenye chama tawala upo. Mnh......

Jipambanue badi tujue msimamo wako. Ni vema kuwa moto au baridi kuliko kubaki uvuguvugu.
 
Hapa ndipo ninaposhindwa kabisa kukuelewa Paschal. Ndege si ndege, mnyama si mnyama!! Kwenye upinzani upo na kwenye chama tawala upo. Mnh......

Jipambanue badi tujue msimamo wako. Ni vema kuwa moto au baridi kuliko kubaki uvuguvugu.
Mkuu Musundi, mimi sina chama, sina mtu, sina upande, moja ya misingi mikuu ya media ethics ni kuwa impartial kwa ku practice the highest degrees of impartiality, not to side with any side or take any sides, and this is being objective and practicing objectivity.

Kutoegemea upande wowote is my biggest strength, na kiukweli niko very free, kwenye mazuri napongeza, panapostahili sifa, niko free kumsifu yoyote, kwenye mapungufu nakosoa, na kwenye madudu naponda, bila kujali ni nani anayepondwa, ila kitu muhimu kuliko vyote ni uzalendo, kuwa Mzalendo kwa taifa lako kwa kutanguliza mbele Maslahi ya taifa.
P
 
Huyo ndiye wa kuoa, mwanamke wa shoka.
Sijajua huwa inakuwaje, lakini utafiti umethibitisha wengi wa wanawake wa shoka ni ma activists, na sio wife material wazuri!. Fuatia marital status za female activists, utanielewa. Mwanamke wa shoka ana blend vizuri na marioo, ndani ya nyumba mama ndio anakuwa baba ndiye mwenye nyumba, mwenye sauti, mwenye uwezo na ukileta za kuleta pia kichapo utakula!.

P
 
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Mzee ni kuamua tu kujitoa ufahamu, au kuna jingine? Muulize Msigwa wa Iringa Mjini au Mnyika wa hapa tu Kibamba. Kweli nimeamini: There's no fool like an old fool. And you're one indeed!
 
Kwa kawaida binadamu huchukia uonevu. Ndivyo alivyoumbwa. Na hukaa upande wa anayeonewa. Brutality ya polisi dhidi ya Chadema inawasukuma sana watu kusimama upande wa Chadema.

Hamuoni aibu kumtumia huyo binti maaskari waliosheheni silaa za vita? Kwanini huyo Binti asiachwe aongee na wapiga kura wake kama vile Jiwe anavyofanya?

Brutality breeds hatred. Hatred against the perpetrator and sympathy for the victim. Kwa ubeberu wake, ccm inakijenga sana Chadema. Kama hawaoni hilo basi ni vilaza kupita maelezo.
 
Tanzania BaraInaonekana Wapinzania wa kweli wanao jiamini na kuamini mfumo wa vyama vingi ni Mashangazi.
Wanawake wamekua imara. Wanaume wa Bara wengi ni Malaya wa Kisiasa wananuliwa kama changu doa hawajiamini


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom