mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,638
- 2,293
Hahahaaaaa......... Siasa ni sayansi bwashee.
CCM imefocus kwenye ushindi wa 99.99%........kama ulipofikia uchunguzi wa Kangi!
Sasa hivi ccm kila kitu ni 99, na huo ujinga jiwe ndio anawakaririsha. Utasikia ccm itashinda kwa 99%, makusanyo ya TRA ni 99% ya lengo. Sasa hivi takukuru wamekamilisha uchunguzi wa noma ya kina Kange kwa 99%!