Bumbuli: Ng'ombe wa Mayele ni maarufu kuliko wasemaji wa timu nyingine za Ligi Kuu

Saaaalam Wana JF....nawasalumu kwa jina la TFF

Msimu huu wa ligue kuu umeshuhudiwa kwa uwepo wa wachezaji wakali ndani ya ligue kuu Tanzania bara maarufu Kama NBC PREMIER LIGUE....kutoka timu ya YANGA maarufu Kama wananchi.....kwa wanaojua mpira ...wataona kuwa yanga ndio timu yenye wachezaji Bora kuliko timu yeyote hapa bongo......

Fact

Ng'ombe aliyepewa mshambuliaji hatari Tanzania na barani Africa pia dunian kwa Ujumla FISTON MAYELE ametokea kuwa maarufu kuliko hata wasemaji wa timu zingine hapa bongo....... Mfano wasemaji wa Simba,. Mtibwa,. Kagera. Dodoma jiji. Prison,. Namungo. Azam. Na zinginezo.......

Source ...... Professor Bumbuli

Afisa habar wa YANGA

Je unakubaliana na hili?View attachment 2164789
Huyo Ng'ombe amekuwa promoted na mashabiki wa Simba bila kujua.
 
Mwisho tumeona umuhimu wa ng'ombe ili mtu wetu asitoke patupu
 

Attachments

  • FB_IMG_16565661756105898.jpg
    FB_IMG_16565661756105898.jpg
    56.8 KB · Views: 5

Similar Discussions

Back
Top Bottom