Bulyanhulu to start making profit in 2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bulyanhulu to start making profit in 2014

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Oct 27, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Wachumi hii inamaanisha nini?
  Source:
  By MUGINI JACOB in Kahama
  Daily News; Monday,October 27, 2008
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna kuwa hadaa watanzania hapa.....ikifika 2014 wanasema we run for loss...watafuta sympathy ya nchi...
  No way wanapata faida....out of that 3000 employee kuna about 450 to 500 expart...na hakuna anaye pata less than 5000 dollar per month tax free...

  Kila expart kumsafirisha from bully to duniani wanako kwenda...just example anakwenda aussie...it more that 2 milion ticket without one night dubai akiwa anafanya connection ya flight.We are talking about parmanet expart bado kuna consultant wa kuja kukaa wiki analipwa 1000 USD kwa siku na ticket,accomodation ni ya company..

  Mfanyakazi wa kitanzania hapo anaganga na 800USD Gross baadhi mpaka 2000 usd...hao sasa ndio wenye 10yrs experiance.....

  Harafu wanasema hawajapata faida mpaka sasa...sio barrick bwana wakiona there is pontential na wanapata faida hawatoki...kuna migodi walikuwa nayo wameachia uko kwingine duniani kwa kuwa hawapati faida..bully why wasubiri?
   
Loading...