Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bulk sms services

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jiwe Linaloishi, Jun 5, 2012.

 1. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wapendwa habari,

  Tunatoa huduma ya SMS za Kibiashara, mawasiliano N.k, uzuri wa huduma hii ni kwamba unaweza kutuma sms ukiwa sehemu yoyote ili mradi uwe na internet aidha kwenye Computer au simu yako ya mkononi na hizo SMS zitakwenda kwa ID au jina lako la kibiashara au jina lako halisi utakalochagua.
  Huduma hii ya sms unaweza kuitumia kwenye Saccos, hotel, wenye maduka, vikao vya harusi,NGOs,Mashirika ya Uma, Makampuni binafsi,

  Unaweza kutuma SMS kuanzia moja mpaka kikomo unachotaka wewe kwa wakati mmoja cha msingi ni kuwa na namba zako za simu (database) basi.

  Garama zetu ni nafuu sana kima cha juu kabisa ni shs 40 kwa sms moja lakini bei inapungua kutokana na idadi ya sms utakazochukua setup tunamfanyia mteja bure.

  Na SMS hizi hazina muda wa kusitishwa ukishanunua utazitumia mpaka ziishe hata kama itachukua miaka miwili kuzimaliza.

  kwa maelezo zaidi fungua attachment niliyoiweka hapa au tuwasiliane kwa:
  Kuwa huru kuuliza maswali tuko kwaajili yako.

  karibu sana

  mobile 0719 731315 au email:

   

  Attached Files:

Loading...