Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

Maneno ya Bulembo!

Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.

Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.

Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!

Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!

Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!

Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.

Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!

======

View attachment 2041643
Sitaki kumjibu Polepole, kwenye CCM ni mchanga, ni sawa sawa na mtoto wa darasa la kwanza anajibiwa na wa chuo kikuu. Polepole ni sawa na unyasi mkavu. Siku Polepole anaingia kwenye chama kujitangaza, alipewa nguo za CCM na Nape Nnauye- Abdallah Bulembo

Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu- Bulembo

Polepole hawezi kuwa mzuri kwa Magufuli kuliko mimi. Nimekaa na Magufuli siku 90 kwenye kampeni za uchaguzi. Nimebadilishana naye nguo wakati wa kampeni. Polepole anampenda Magufuli kwa kuwa alimpa zawadi ya nafasi- Abdallah Bulembo

Lengo la Polepole ni kumkatisha tamaa Rais Samia. Hawezi ni mdogo sana. Rais Samia aachwe, namjua anaweza. Nimekaa naye namjua. Aachwe afanye kazi, lakini wakija vijana wenzenu na shule ya uongozi, huwezi kuifanya ukiwa mbunge, subiri umalize ubunge. Hivi unasema lipi?- Bulembo

Magufuli alituwekea Profesa Kabudi mambo ya nje akavuruga mahusiano yote ya kimataifa. Mama Samia kaingia amemteua Balozi Liberata Mulamula, leo Mama Samia amehutubia mikutano huko UN. Mambo ya kimataifa nchi zinaingiliana- Abdallah Bulembo

"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo

ZAIDI SOMA;

Dar es Salaam. Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake.

Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti wa chama hicho bara, Philip Mangula kumuhoji Polepole kama alivyowahoji makatibu wakuu wa zamani, Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba ambao sauti zao zilivuja wakikosoa viongozi na mwenendo wa chama hicho tawala, akitaka Polepole naye aitwe kamati ya maadili.

Huku akisisitiza kuwa anakemea suala hilo kama mwanachama wa kawaida na hajatumwa na mtu amesema, “kama Polepole anataka kutoka atoke atuachie CCM maana ana wenzake wanaomshawishi kuanzisha chama chao, asitapetape na kuongea mambo ambayo hayaeleweki.”

"Hawa kina Polepole waliojificha hawatusumbui ndani ya CCM kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama kama mwanachama anaenda tofauti kuna onyo, kufungiwa au kufukuzwa uanachama.”

Bulembo amesema anamfahamu Polepole tangu mwaka 2012 alipoteuliwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete kuwa mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.

"Siyo kwamba ndani ya CCM tulifurahia uteuzi wake wa ukatibu mwenezi Taifa bali tuliheshimu mamlaka ya aliyekuwa mwenyekiti Taifa hayati John Magufuli bali. Hamjali Samia na kimsingi hawezi kumpangia rais cha kufanya, yeye ni nani,”amesema Bulembo
View attachment 2041667
Kwani CCM ni ya baba yako tu,mtu yeyote anaweza kuingia CCM na kutoka huyu Bulembo ni tapeli tu wa mjini,kwanza alipe hela ya kukodisha choo pale ilipokuwa stand ya mabasi Mwenge ,juu ndio kilikuwa kiofisi chake, ngumbaru anataka apambane na wasomi na huyu huyu alivyo mnafiki ndie alikuwa kimbelembele enzi za mwendazake,leo kaanza kujikomba kwa mama, tahadhari kwa mama watu wa sampuli hii ndio hao hao watakusaliti na kukusimanga ukisha toka madarakani, Bulembo anaishi mjini kwa kutumia maneno, arudishe na shule zetu za jumuia ya wazazi (TAPA)
 
Maneno ya Bulembo!

Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.

Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.

Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!

Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!

Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!

Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.

Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!

======

View attachment 2041643
Sitaki kumjibu Polepole, kwenye CCM ni mchanga, ni sawa sawa na mtoto wa darasa la kwanza anajibiwa na wa chuo kikuu. Polepole ni sawa na unyasi mkavu. Siku Polepole anaingia kwenye chama kujitangaza, alipewa nguo za CCM na Nape Nnauye- Abdallah Bulembo

Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu- Bulembo

Polepole hawezi kuwa mzuri kwa Magufuli kuliko mimi. Nimekaa na Magufuli siku 90 kwenye kampeni za uchaguzi. Nimebadilishana naye nguo wakati wa kampeni. Polepole anampenda Magufuli kwa kuwa alimpa zawadi ya nafasi- Abdallah Bulembo

Lengo la Polepole ni kumkatisha tamaa Rais Samia. Hawezi ni mdogo sana. Rais Samia aachwe, namjua anaweza. Nimekaa naye namjua. Aachwe afanye kazi, lakini wakija vijana wenzenu na shule ya uongozi, huwezi kuifanya ukiwa mbunge, subiri umalize ubunge. Hivi unasema lipi?- Bulembo

Magufuli alituwekea Profesa Kabudi mambo ya nje akavuruga mahusiano yote ya kimataifa. Mama Samia kaingia amemteua Balozi Liberata Mulamula, leo Mama Samia amehutubia mikutano huko UN. Mambo ya kimataifa nchi zinaingiliana- Abdallah Bulembo

"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo

ZAIDI SOMA;

Dar es Salaam. Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake.

Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti wa chama hicho bara, Philip Mangula kumuhoji Polepole kama alivyowahoji makatibu wakuu wa zamani, Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba ambao sauti zao zilivuja wakikosoa viongozi na mwenendo wa chama hicho tawala, akitaka Polepole naye aitwe kamati ya maadili.

Huku akisisitiza kuwa anakemea suala hilo kama mwanachama wa kawaida na hajatumwa na mtu amesema, “kama Polepole anataka kutoka atoke atuachie CCM maana ana wenzake wanaomshawishi kuanzisha chama chao, asitapetape na kuongea mambo ambayo hayaeleweki.”

"Hawa kina Polepole waliojificha hawatusumbui ndani ya CCM kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama kama mwanachama anaenda tofauti kuna onyo, kufungiwa au kufukuzwa uanachama.”

Bulembo amesema anamfahamu Polepole tangu mwaka 2012 alipoteuliwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete kuwa mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.

"Siyo kwamba ndani ya CCM tulifurahia uteuzi wake wa ukatibu mwenezi Taifa bali tuliheshimu mamlaka ya aliyekuwa mwenyekiti Taifa hayati John Magufuli bali. Hamjali Samia na kimsingi hawezi kumpangia rais cha kufanya, yeye ni nani,”amesema Bulembo
View attachment 2041667
Kwa kuwa Bulembo ni fisadi lazima awachukie akina Polepole,Bashiru na wengineo wapya kwa kuwa hawa ndio waliokata mizizi ya kufisadi mali za chama baada ya mwendazake kuunda tume chini ya Bashiru kuhakiki mali za chama na kuangalia njia za kuziba mianya ili chama kijijengee uwezo wa kujitegemea na Bashiru bila kupepesa macho ripoti yake ilionyesha ufisadi mkubwa wa kujiuzia au kuuza mali za chama chini ya akina marope,mzee wa vipusa /meno ya tembo/bulembo na wengineo hawa waliuza mali za chama ikiwemo mitambo, shule vituo vya runinga n.k. Ni hekima na busara tu za mwendazake ambazo ziliwafanya hawa wakora wasiwe wageni wa serikali. Hizi kelele zote hizi ni'' KURUDI KWA WEZI''
 
C
Maneno ya Bulembo!

Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.

Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.

Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!

Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!

Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!

Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.

Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!

======

View attachment 2041643
Sitaki kumjibu Polepole, kwenye CCM ni mchanga, ni sawa sawa na mtoto wa darasa la kwanza anajibiwa na wa chuo kikuu. Polepole ni sawa na unyasi mkavu. Siku Polepole anaingia kwenye chama kujitangaza, alipewa nguo za CCM na Nape Nnauye- Abdallah Bulembo

Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu- Bulembo

Polepole hawezi kuwa mzuri kwa Magufuli kuliko mimi. Nimekaa na Magufuli siku 90 kwenye kampeni za uchaguzi. Nimebadilishana naye nguo wakati wa kampeni. Polepole anampenda Magufuli kwa kuwa alimpa zawadi ya nafasi- Abdallah Bulembo

Lengo la Polepole ni kumkatisha tamaa Rais Samia. Hawezi ni mdogo sana. Rais Samia aachwe, namjua anaweza. Nimekaa naye namjua. Aachwe afanye kazi, lakini wakija vijana wenzenu na shule ya uongozi, huwezi kuifanya ukiwa mbunge, subiri umalize ubunge. Hivi unasema lipi?- Bulembo

Magufuli alituwekea Profesa Kabudi mambo ya nje akavuruga mahusiano yote ya kimataifa. Mama Samia kaingia amemteua Balozi Liberata Mulamula, leo Mama Samia amehutubia mikutano huko UN. Mambo ya kimataifa nchi zinaingiliana- Abdallah Bulembo

"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo

ZAIDI SOMA;

Dar es Salaam. Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake.

Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti wa chama hicho bara, Philip Mangula kumuhoji Polepole kama alivyowahoji makatibu wakuu wa zamani, Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba ambao sauti zao zilivuja wakikosoa viongozi na mwenendo wa chama hicho tawala, akitaka Polepole naye aitwe kamati ya maadili.

Huku akisisitiza kuwa anakemea suala hilo kama mwanachama wa kawaida na hajatumwa na mtu amesema, “kama Polepole anataka kutoka atoke atuachie CCM maana ana wenzake wanaomshawishi kuanzisha chama chao, asitapetape na kuongea mambo ambayo hayaeleweki.”

"Hawa kina Polepole waliojificha hawatusumbui ndani ya CCM kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama kama mwanachama anaenda tofauti kuna onyo, kufungiwa au kufukuzwa uanachama.”

Bulembo amesema anamfahamu Polepole tangu mwaka 2012 alipoteuliwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete kuwa mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.

"Siyo kwamba ndani ya CCM tulifurahia uteuzi wake wa ukatibu mwenezi Taifa bali tuliheshimu mamlaka ya aliyekuwa mwenyekiti Taifa hayati John Magufuli bali. Hamjali Samia na kimsingi hawezi kumpangia rais cha kufanya, yeye ni nani,”amesema Bulembo
View attachment 2041667
CCM chama cha ajabu Sana ,that's kijina ukiwa ccm lazima ujipime Mara mbili ,au ukapimwe mirembe, kwamba ndani ya ccm mwanachama wa mda mrefu Basi haki yako ni kubwa kuliko Wanachama wengine, upumbavu mtupu ndani ya Chama Wanachama wote lazima kua na haki sawa Mbele ya katiba
 
Walikuwa wakimuogopa aseme ukwel bhana
"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo

Nje ya mada H: hivi Binti yake na Bulembo bado ni mbunge wa vitu maalum?
 
Maneno ya Bulembo!

Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.

Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.

Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!

Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!

Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!

Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.

Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!

======

View attachment 2041643
Sitaki kumjibu Polepole, kwenye CCM ni mchanga, ni sawa sawa na mtoto wa darasa la kwanza anajibiwa na wa chuo kikuu. Polepole ni sawa na unyasi mkavu. Siku Polepole anaingia kwenye chama kujitangaza, alipewa nguo za CCM na Nape Nnauye- Abdallah Bulembo

Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu- Bulembo

Polepole hawezi kuwa mzuri kwa Magufuli kuliko mimi. Nimekaa na Magufuli siku 90 kwenye kampeni za uchaguzi. Nimebadilishana naye nguo wakati wa kampeni. Polepole anampenda Magufuli kwa kuwa alimpa zawadi ya nafasi- Abdallah Bulembo

Lengo la Polepole ni kumkatisha tamaa Rais Samia. Hawezi ni mdogo sana. Rais Samia aachwe, namjua anaweza. Nimekaa naye namjua. Aachwe afanye kazi, lakini wakija vijana wenzenu na shule ya uongozi, huwezi kuifanya ukiwa mbunge, subiri umalize ubunge. Hivi unasema lipi?- Bulembo

Magufuli alituwekea Profesa Kabudi mambo ya nje akavuruga mahusiano yote ya kimataifa. Mama Samia kaingia amemteua Balozi Liberata Mulamula, leo Mama Samia amehutubia mikutano huko UN. Mambo ya kimataifa nchi zinaingiliana- Abdallah Bulembo

"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo

ZAIDI SOMA;

Dar es Salaam. Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake.

Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti wa chama hicho bara, Philip Mangula kumuhoji Polepole kama alivyowahoji makatibu wakuu wa zamani, Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba ambao sauti zao zilivuja wakikosoa viongozi na mwenendo wa chama hicho tawala, akitaka Polepole naye aitwe kamati ya maadili.

Huku akisisitiza kuwa anakemea suala hilo kama mwanachama wa kawaida na hajatumwa na mtu amesema, “kama Polepole anataka kutoka atoke atuachie CCM maana ana wenzake wanaomshawishi kuanzisha chama chao, asitapetape na kuongea mambo ambayo hayaeleweki.”

"Hawa kina Polepole waliojificha hawatusumbui ndani ya CCM kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama kama mwanachama anaenda tofauti kuna onyo, kufungiwa au kufukuzwa uanachama.”

Bulembo amesema anamfahamu Polepole tangu mwaka 2012 alipoteuliwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete kuwa mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.

"Siyo kwamba ndani ya CCM tulifurahia uteuzi wake wa ukatibu mwenezi Taifa bali tuliheshimu mamlaka ya aliyekuwa mwenyekiti Taifa hayati John Magufuli bali. Hamjali Samia na kimsingi hawezi kumpangia rais cha kufanya, yeye ni nani,”amesema Bulembo
View attachment 2041667
Mkubwa waache hao mbwa walane wenyewe kwa wenyewe
 
Bulembo ni mwizi mkubwa. kazi yake ilikuwa kuosha vyoo, kajiunga na siasa Leo ni tajiri mkubwa kwa kuuza mali za CCM. Huyu alitakiwa kuwa gerezani. Awamu ya nne iliyokuwa imejaa wahuni haikumufunga kama wahunu wengine. Akaja kutimuliwa awamu ya tano, iliyokuwa ikisafisha wahuni serikalini na CCM. Kwa sasa anajipendekeza kwa Mama, mama hajuwi record zake za wizi. Huyu ni mwizi mkubwa mama. Asikudanganye na tuhuma za uwongo kwa PolePole kuficha maovu yake. huyu ni mwizi aliuza shule za wazazi wa CCM. Angetakiwa awe jela kifungo cha maisha. Hafai kabisa serikalini hata kufunguwa mdomo wake. Kweli wahuni bado wako. Lazima tusimame na PolePole kufukuza wahuni.
 
FB_IMG_1640547243028.jpg
 
Huyu Bulembo alifaa awe Jela,kahusika sana kuuza mali za Jumuiya ya wazazi.
CCM yenyewe ingekuwa jela kwa kupora mali za Watanzania na kuzimiliki kiharamu kama zake. CCM imeipora hadi Katiba ya nchi na kuihatamia kama kuku na kuwaona wananchi kama vifaranga wake.

CCM imejengwa kwenye misingi ya dhuluma na yeyote anayejiunga na CCM ni kwamba anakubaliana na sera ya dhulma. Uporaji, utekaji, utesaji, wizi, rushwa na ufisadi ni sifa zilizoiganda CCM kama kupe.

CCM iko tayari hata kuua kulinda uovu wao. CCM ni manyanga'au na hofu kubwa ya manyang'au ni pale mzoga unapokaribia kuisha, hapo watatafunana wao kwa wao na ole wako ukutwe na damu mdomoni!

Hakuna mwana CCM asiye na hizo sifa, period!
 
Back
Top Bottom