Hali ya kifedha ndani ya Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi ni tete, Mwenyekiti wa Jumuiya Hiyo Abdala Bulembo ameagiza kila Mwanafunzi anayesoma katika shule zinazomilikiwa na jumuiya hiyo achangie shilingi laki moja akishindwa ajiondoe, lengo la pesa ni kusaidia mfuko wa kuishughulikia Chadema na kuwafadhili wanaosaidia kuisambaratisha. Mkoani Kilimanjaro leo kulikuwa na Kikao cha mkoa kuimairisha Jumuiya na chama Mkoa huo. Baada ya Wanachama kukosa pesa ya chakula hali ilikuwa hivi, angalia Picha