Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Joseph Chacha ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho. Chacha alikuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema katika Wilaya za Geita na Chato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama std seven anaweza kuwa Katibu Mkuu wa CCM mpya!View attachment 522238
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa Mabaraza ya Juuia za CCM, Madiwani, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, katika Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo mkoani Geita, leo Juni 9, 2017.
View attachment 522239
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Joseph Chacha ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho. Chacha alikuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema katika Wilaya za Geita na Chato.
upinzani siasa hadi 2020 lakini ccm siasa kama kawaida.Kumbe mnaogapa upinzani kias hicho!!ooh fisiemu.
Utakuwa umevurugwa wewe.Hakuna cheo cha ukurugenzi ndani ya Chadema kwa walioko mikoani.Yaani ni sawa na kuja kusema makamu mkt wa Ccm bara wa mkoa wa Geita,utachekwa!!Wewe utakijulia wapi, Chadema utakuwa wewe mzururaji
kwan huoni hicho ni kikao cha ndani au unajitoa ufaham ili tuone ujinga wakoupinzani siasa hadi 2020 lakini ccm siasa kama kawaida.Kumbe mnaogapa upinzani kias hicho!!ooh fisiemu.
Kilikuja na meli mkuu.Congratulation Hon MP however I have an opinion if we really need opposition parties in the Country to me I would we could have back to single party may be Later Our Children would by then Think of bringing them back I could see these parties divide us more than they Unite Us I may be wrong but these I my Opinions welcome let me here from You
Remember when writing small small comment all you need is to be brief and understandable be aware BT you have I point Thanxs my boyKilikuja na meli mkuu.