Bulembo atingisha Chato, mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA ahamia CCM

Unajua tofauti ya serikali na chama?? Kwani chadema hawana majimbo na halmashauri ambazo wanatakiwa kuhimiza utendaji kazi maana zipo chini yao????? Au misingi ni ccm tu
Wakafanye mikutano ya ndani hawakatazwi na haijawahi kukatazwa. Juzi wamefanya mkutano Mkubwa wa kitaifa wa baraza kuu Dodoma mbona hawakukatazwa? Halikadhalika sumaye alikuwa mbeya juzi kwenye mahafali ya ya vijana wa chadema Hawakuzuiwa.
 
Umekurupuka kwa Ras Simba kuja kufanya majaribio ya lugha jf?Bora ungeandika kisukuma kama Mwenyekiti wako anayetumia lugha yake kuhutibia katika mikutano.Unatia aibu!
Better ur just try a single sentese so that we can compare my Headmaster !!!! Try it now write the very same same comment in English just now my Boy !!!!! Easier said than done !
 
upinzani siasa hadi 2020 lakini ccm siasa kama kawaida.Kumbe mnaogapa upinzani kias hicho!!ooh fisiemu.
Kila mara huwa tunanukuu toka nchi za wenzetu wa ulaya. Na tunaelewa kuwa ndiyo wenye demokrasia ya kweli.

Je tangia USA imtangaze Trump kuwa Rais wa USA umewahi kumsikia mama aliyeshindwa akishiriki au akiwa na mkutano wowote wa kisiasa?
 
upinzani siasa hadi 2020 lakini ccm siasa kama kawaida.Kumbe mnaogapa upinzani kias hicho!!ooh fisiemu.
Umesahau baraza kuu la chadema juzi Dodoma umesahau mkutano mkuu wa bawacha Dodoma leo lkn umesahau mahafali ya wanachuo wa chadema juzi mbeya uliohudhuriwa na viongozi kadhaa wa kitaifa wa chadema?
 
Huyu naye si arudi bungeni!!! Viatu vya Comrade Kinana haviwezi kuvaliwa na mtu mwenye elimu ya Ngumbaru! Tunahitaji mtu atayeenda na kasi ya mabadiliko ya kifikra!!! Sio ndio mzee!! Kuna wakati hata hizo ndio za kusema zinakosekana!!!! CCM oyee!!!
 
Jitahidi.
Mara nyingi wapambe kama wewe ACT huwa tunawapenda sana.
Hongera mtumishi wa Mbowe.
Hahahahahh mbowe mie hta hanijui..... nlishakuwaga chadema toka nkiwa nasoma darasa la tano ndio leo hii niwe mtumishi wa mbowe???
Jibu hoja hapo maana wwe unadai ccm wanaongeza wanachama huku chadema tumelala ndio nakuuliza hujui Anna mghwira naye yupo ndani ya serikali iliozuia mikutano ya kisiasa!!! Yaani mghwira yupo upande wa wasiotaka siasa mpaka 2020!! Afu wwe ndio unatoka povu humu...... tukutane 2019
 
Wakafanye mikutano ya ndani hawakatazwi na haijawahi kukatazwa. Juzi wamefanya mkutano Mkubwa wa kitaifa wa baraza kuu Dodoma mbona hawakukatazwa? Halikadhalika sumaye alikuwa mbeya juzi kwenye mahafali ya ya vijana wa chadema Hawakuzuiwa.
Mikutano ya ndani ni ya viongozi pekee hivo huwezi ongeza wanachama saaa nikuulize kma mmi nmesajili chama kipya leo ntafanyeje niweze kuwafikia walengwa na kuwashirikisha sera zangu???

2. Sheria gani inayosema siasa mpaka 2020 na lini sheria ya vyama vya siasa imeacha kutumika???

3. Je kma imekatazwa na mtu mmoja ni sawa nikiuita udikteta ama nakosea???

Anyway hapo nlikuwa namjibu mtu anayesema serikali kufanya mikutano ni sawa maana ni utendaji kazi na mie nikasema kwani wapinzani nao si wana halmashauri na majimbo kwani wao hawawezi fanya mikutano kuhamasisha utendaji kazi????? Au akifanya mkutano makonda unakuwa wa kitendaji ila wa boniface jacob unakuwa wa kisiasa???

Ahsante
 
Unajua tofauti ya serikali na chama?? Kwani chadema hawana majimbo na halmashauri ambazo wanatakiwa kuhimiza utendaji kazi maana zipo chini yao????? Au misingi ni ccm tu
Umenena vyema. Na ndio maana wanaruhusiwa kufanya siasa kwenye majimbo yao.
Msigwa, Sugu, Zitto, Lema na Mnyika ni mifafno ya watu walio fanya mikutano kwenye majimbo yao.
 
suala la kuhimiza maendeleo ni la kila mwananchi wa nchi hii kila chama na kila kiongozi. Siyo jukumu la ccm pekee
Kila mbunge anaruhusiwa kuhimiza katika eneo lake.
Chama cha upinzani kina kazi ya kukosoa serikali iliyopo ili kipate nafasi.
Kitaifa ni mara chache sana kuhimiza maendeleo, ila kila mbunge jimboni kwakwe anaweza kuhimiza hata kama ni mpinzani.
 
Umenena vyema. Na ndio maana wanaruhusiwa kufanya siasa kwenye majimbo yao.
Msigwa, Sugu, Zitto, Lema na Mnyika ni mifafno ya watu walio fanya mikutano kwenye majimbo yao.
Hamna huyu anasema serikali ina haki ya kufanya so called siasa popote maana inatoa maelekezo ya utendaji kazi..... sasa kwani wapinzani nao hawana halamashauri na majimbo na mitaaa na kata ili watoe maelekezo ya utendaji????

Shiida kwake sio jimbo yeye shida ni kwamba serikali ina HAKI hyo kwakuwa ni SERIKALI ila wapinzani hawana......

1.Na mkuu acha upotoshaji iweje useme mikutano imezuiwa ila ccm wanafanya.... mikutano yote ya jaffo tanga amezunguka na mwenyekiti wa ccm mkoa na wa wilaya zote na makada tofauti wametoa hotuba kwenye hyo mikutano ya hadhara ssa kivp mnatofautisha mikutano ya CCM na serikali???? Mbona ccm mwanafanya

2. Sheria gani inasema mikutano ni majimboni.... mbona sheria ya vyma vya siasa haijaweka ukomo wa mikutano ya siasa??? Zaidi ya hali ya hatari?? Je ni lini rais katangaza hali ya hatari na bunge likaridhia
 
Back
Top Bottom