Bulembo atingisha Chato, mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA ahamia CCM

Hivi mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA si LWAKATARE???

Hicho cheo mbona kipya??? Haaaaaa

Halafu si Kuna malaika mwenye heri alizuia siasa mpaka 2020??? Nini kimetokea???
 
Hao wanao hama hama vyama vyao huwa ni watu wasio jua kipi wanacho kisimamia, ni wale wanao ishi kwa mihemuko, watu ambao akili zao hazina uwezo kujitegemea .
Ni kweli kabisa kama lowasa, sumaye, masha, na wengineo wamekosa mwelekeo kweli
 
labda ndio maana nilifeli shuleni: mh alikuwa akifanya mkutano na jumuiya za CCM pamoja na wajumbe wa halmashauri kuu NDIPO CHACHA AKATANGAZA KUHAMIA CCM. sasa alikuwaje chadema na akaingiaje kwenye hivyo vikao hali si mjumbe wa CCM? au ulikuwa mkutano wa hadhara!!
 
Congratulation Hon MP however I have an opinion if we really need opposition parties in the Country to me I would we could have back to single party may be Later Our Children would by then Think of bringing them back I could see these parties divide us more than they Unite Us I may be wrong but these I my Opinions welcome let me here from You


Umekurupuka kwa Ras Simba kuja kufanya majaribio ya lugha jf?Bora ungeandika kisukuma kama Mwenyekiti wako anayetumia lugha yake kuhutibia katika mikutano.Unatia aibu!
 
Kwani siasa wameluhusu.
29f9bce254fb5dd0123fca3ad1469809.jpg
 
Back
Top Bottom