Bulembo atingisha Chato, mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA ahamia CCM

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,000
1. BN642855.jpg

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa Mabaraza ya Juuia za CCM, Madiwani, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, katika Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo mkoani Geita, leo Juni 9, 2017.

BN642922.jpg

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Joseph Chacha ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho. Chacha alikuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema katika Wilaya za Geita na Chato.
 
Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,694
2,000
View attachment 522238
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa Mabaraza ya Juuia za CCM, Madiwani, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, katika Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo mkoani Geita, leo Juni 9, 2017.
View attachment 522239

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Joseph Chacha ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho. Chacha alikuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema katika Wilaya za Geita na Chato.
Sidhani kama std seven anaweza kuwa Katibu Mkuu wa CCM mpya!
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,179
2,000
Chama kinachotawala ndicho kinachoratibu misingi ya nchi. Ccm hawafanyi siasa za uchaguzi..wanahimiza utendaji kazi
upinzani siasa hadi 2020 lakini ccm siasa kama kawaida.Kumbe mnaogapa upinzani kias hicho!!ooh fisiemu.
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,042
2,000
Eti mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa wilaya za Chato na Geita!!

Hivi ccm mnatudanganya mkidhani sisi bado ni wa mwaka 40 siyo!?

Kwa taarifa yenu hakuna cheo cha ukurugenzi mikoani.Wakurugenzi wa Chadema wote wako kwa ngazi kitaifa pekee.Na upande wa ulinzi mkurugenzi ni mmoja tu nae ni Benson Singo Masalamakali Kigaila,mwana wa Makao makuu ya nchi-Idodomya!!
 
May 29, 2017
60
125
Congratulation Hon MP however I have an opinion if we really need opposition parties in the Country to me I would we could have back to single party may be Later Our Children would by then Think of bringing them back I could see these parties divide us more than they Unite Us I may be wrong but these I my Opinions welcome let me here from You
 
Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,187

Kilikuja na meli mkuu.
 
mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
772
1,000
Hao wanao hama hama vyama vyao huwa ni watu wasio jua kipi wanacho kisimamia, ni wale wanao ishi kwa mihemuko, watu ambao akili zao hazina uwezo kujitegemea .
 
mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,979
2,000
Wenyewe wapo busy na Anna Nghwira. Kila ofisi anayoingia lazima walete update, huku Bulembo anawavuna wanachama wao tu.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa Mabaraza ya Juuia za CCM, Madiwani, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, katika Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo mkoani Geita, leo Juni 9, 2017.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Joseph Chacha ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho. Chacha alikuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema katika Wilaya za Geita na Chato.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom