google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,629
- 13,694
ukiona kitu kinauzwa jua wanunuzi wapoHahahaaa! Kumbe walaji mpo.
ukiona kitu kinauzwa jua wanunuzi wapoHahahaaa! Kumbe walaji mpo.
Nimesoma ndandanimekumbuka kunyumba mkorosho haramu ndanda
Daaah wanikumbusha Ndanda boy !
Daah! Niliona makala moja kuna majamaa wanasema huwa eti huwa wanatafunika hadi mfupa.
Na kweli usemayo Mkuu.ukiona kitu kinauzwa jua wanunuzi wapo
pale ni nyumbani,Nimesoma ndanda