donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
.
Hahaha, Mi nlionja masasi kule ni watamuDaah! Niliona makala moja kuna majamaa wanasema huwa eti huwa wanatafunika hadi mfupa.
SikupingiWatamu balaa hao wanaitwa samaki n'changaa
Panya!!!!!
Duuh! Hongera aiseee!!Hahaha, Mi nlionja masasi kule ni watamu
Daaah wanikumbusha Ndanda boy !nimekumbuka kunyumba mkorosho haramu ndanda
Rafiki tuonje siku moja. 🙈 Uwii!!Duh aiseee
Rafiki tuonje siku moja. 🙈 Uwii!!
Hahaaaa. Nimecheka sana.Hee siku hio sitalala full kulamba ndimu
Hahaaaa. Nimecheka sana.
Yaani mimi kula hiyo kitu labda wasiniambie japo huwa nina kawaida ya kuuliza hasa pale kitoweo ninapokiona sikielewielewi.
na mkia unaliwa hahahahahaDaah! Niliona makala moja kuna majamaa wanasema huwa eti huwa wanatafunika hadi mfupa.
hapana ni samaki n'changaaPanya!!!!!
na kutema mate tuHee siku hio sitalala full kulamba ndimu
Hahahaaa! Kumbe walaji mpo.na mkia unaliwa hahahahaha